White Party ya wabongo

Sasa hii thread imeshaingiliwa na lida wa ze utamu Yo Yo. Wangeleta wengine hii list ya kamanda Liyumba ungeona anavyobwabwaja.

Nways tatizo la wabongo wakishapata exposure kidogo kazi yao ni kupondea tu...lakini ukiangalia kwa undani tatizo lao ni kawivu ka-kike. Eti mwingine anaifananisha hii party na ya P.Diddy my a$$..kama mmekosa nauli ya kurudi bongo semeni sio mnapondea tu..
mwaka huu unalo mpemba.......kiti kishalowana hicho amka ujiangalie.....
 
Ooo Mange Kimambi.....mashine yake ishaenda mileage sana hiyo hadi imeota sugu...siitaki mimi

We unaona mileage wenzio waweka ndani kabisa......kaolewa, semeni tena sasa, msivo na haya za uso
 
wangefanya under auspices ya charity fulani hivi you know something proper..somewhere kama Gymkhana club watu wacheze polo wanetwork na kadhalika ndio ma middle class wetu hao

GT, middle class si ndio nyinyi na rafiki zako na hao jamaa waliovaa white kwenye hiyo party!!! Na muungwana anataka nyie ndio muishike nchi!!! Hamna mbele wala nyuma kazi yenu kuiga tu mambo toka ulaya na Uarabuni!! Wengine wanajifanya waswalihina huku nyuma kumbe ni mabaradhuli na wengine ndio hao wa kufanya party za nguo nyeupe ili mradi waonekane eti nao wamo!! Shame on you!!! Fikirieni vitu vingine vya maana vya kusaidia jamii ya wadanganyika inayoteseka usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom