Habari zenu wakuu,
Nataka kujifunza programming language kidogo, its my hobby and also i have plans. Sasa nimeanza kwa kutaka kujifunza JAVA, ebana hii kitu i dont think kama ni nzuri kwa beginners maana inachanganya kisha ukiwa katika development enviroment ndo kabisa nlikua naona marue rue, maana sijui mpaka uimport functions ambazo hata sijui uzitoe wapi, ilimradi ngoma nimeanza kuiona ni ngumu. Nilikua natumia netbeans.
Nahitaji kujua kutengeza application za android, nikaona nijifunze java lakini ndio hivo. Hivi kuna alternative yoyote ile? I mean which language is the best to learn for beginners?