When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

JF is a reliable sourse of information!! I do not trust any Tanzanian mainstream media!!

Ninakula kiapo kuwa sitaleta habari za uzushi, uzandiki, uchochezi ndani ya JF kama sina habari wala mchango wowote ntachungulia na kupita kimyakimya!!

JF Rocks!!:rockon:
 
Inaelekea hujui hata maana ya JF member,
hili ni free forum yeyote anaweza kuwa member, kuna wabunge, madaktari,waandishi wa habari , wanafunzi na wengineo humu. sioni ajabu na lililokushangaza wewe hasa nini? Mungu tuepushe na watu hawa!
 
Inaelekea hujui hata maana ya JF member,
hili ni free forum yeyote anaweza kuwa member, kuna wabunge, madaktari,waandishi wa habari , wanafunzi na wengineo humu. sioni ajabu na lililokushangaza wewe hasa nini? Mungu tuepushe na watu hawa!
Usisahau wabeba maboksi na watawazaji.
 
Pat on the back is well deserved, but lest we forget that the biggest room in the world is room for improvement. Let's collaborate to make JF better and even more relevant for all.
 
JF ni zaidi ya habari, laiti tungejuwa reputation yake tungejiheshimu na kuheshimiana zaidi......I mean tuwe na utamaduni wa kuheshimu mawazo yanayotofautiana na yako na kupinga kwa kutumia hoja.
 
Mimi najf, jf na mimi, yani huwa hata nikiwa usingizini naiota jf! Nimebadilika sana kimawazo na kimtazamo baada ya kujiunga na jf! Hapa ndo nyumbani kwangu, hanitoi mtu! Jf forever!
 
Mkuu Kitila Mkumbo, kiukweli jf inaheshimika sana tuu. Kuna issue niliwahi kuipost humu jf, kesho yake ikashushwa front page ya gazeti fulani "para material" bila kubadili kitu!.

Naamini ni kufuatia hii reputation jf ni very reliable sorce of info kuhusu TZ.

Ukiaminiwa, jiaminishe, as jf members tuna jukumu la kui maitain hii reputation kwa kumaitain truthfulness, objectivity, impartiality na balancing kwenye issues tunazoshusha humu jf.

Lakini kumbuka kuwa haohao repoters ni member humu na huwa wanaleta picha pia!! Kwa hiyo usishangae kuwa Member aliamua kutuma data humu kabla ya kumpelekea mwajiri wake. Taifa Kwanza..................!!!!
 
Back
Top Bottom