sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahahaha! Chukua mwamvuli. Nje imeanza tena, itakata ndani sasahivi.Nje imekata imeanza kunyesha ndani
Hahahaha! Chukua mwamvuli. Nje imeanza tena, itakata ndani sasahivi.Nje imekata imeanza kunyesha ndani
Hahahahaah ni kweli imekata ndani imehamia nje lolHahahaha! Chukua mwamvuli. Nje imeanza tena, itakata ndani sasahivi.
Nimekudediketia hicho kijisehemu..."Miles and miles of empty space in between us
A telephone can't take the place of your smile
But you know I wont be traveling forever
It's cold out, but hold out and do like I do"
Hayo ni sehemu tu ya maneno hapo juu....Lol
Umeonae? Dalili zinaonyesha haina mpango wa kukatika lol. Nayakumbuka 'mathweta' yangu niliyagawa yote kwa wapendwa.. Tengeru palivo mbali mbona ntakoma tehe!Hahahahaah ni kweli imekata ndani imehamia nje lol
Hii hadi asubuhi
Karibu sana...Lol
Achanteeeeeeeeee chana
Teh teh pole sana tafuta kitu chapa ntuUmeonae? Dalili zinaonyesha haina mpango wa kukatika lol. Nayakumbuka 'mathweta' yangu niliyagawa yote kwa wapendwa.. Tengeru palivo mbali mbona ntakoma tehe!
Karibu sana...
Kuna mtu ninemmiss sana
Dini yangu hainiruhusu!..lol.Teh teh pole sana tafuta kitu chapa ntu
Dini yangu hainiruhusu!..lol.
Hahahaha! Afu inazidi kuwa mbaya lol. Utakoma leo!Hahahahahhaaaa
Hali ya hewa lol
Hahaha! Sio kuiba tu, hata kushiriki kwa mawazo na kwa matendo !Kuiba eeeh
Hahahahahahahahaaa ikizidi nahama mtaaHahahaha! Afu inazidi kuwa mbaya lol. Utakoma leo!
Hahaha! Sio kuiba tu, hata kushiriki kwa mawazo na kwa matendo !
Hahaha! Unahamia mtaa gani wenye joto nikufwate?Hahahahahahahahaaa ikizidi nahama mtaa
Hahahahahaaa lol
Sijawahi hata kujaribu!Ndo uache sasa