Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,440
Hahahahahaaaa nanii naona kalikumbatia hadi hurumaNaiona mwaya, hapa natetemekaje baridi. Nitumishie lile blanketi lako basi..
Ntakuletea lile dogodogo la kimasai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaa nanii naona kalikumbatia hadi hurumaNaiona mwaya, hapa natetemekaje baridi. Nitumishie lile blanketi lako basi..
SL anataka kuleta hatari huyu we mwache tuThats between FL and me, don't worry
Hata hilo nitashukuru sana.Hahahahahaaaa nanii naona kalikumbatia hadi huruma
Ntakuletea lile dogodogo la kimasai
Hahaha! Siku ingine nitafute kwenye ile namba ya zantel... Nitawasalimu mwaya!Nilikutafuta mitandao yote sijakupata.....au umehamia airtel live??
Ukimuona Uporoto mwambie namsalimia! (hata Husninyo pia)
Hahaha! Bado nakumbuka mafunzo mliyonipatia kabla sijakuja kwa huyu shemeji enu!Asante...
Nafurahi vile umecheka, manake ungenuna.........mmmmhh......nahisi tungerudisha mahari ya wenyewe, manake ungezidi kuzeeka mpendwa wangu!!! LOL
Hahaha! Siku ingine nitafute kwenye ile namba ya zantel... Nitawasalimu mwaya!
Hahaha! Bado nakumbuka mafunzo mliyonipatia kabla sijakuja kwa huyu shemeji enu!
Relax Kipipi wangu manake hazeeki mtu hapa lol.
Unanitisha sasa, akijua nini?Hahahahahahaaa siunajua Nitty akijua atajiua?
Nimeshtuka sana aisee siunajua tena nilikabidhiwa kuhakikisha usalama sasa naona kama kajamaa kanaanza kujipendekezaMbona umestuka......au hujasikia vizuri??
Niko makini mpendwa shaka ondoa.Haya mwaya...hizo namba zote umesajiri lakini, usijeitwa jambazi ati??
Hayo yaache.....Unanitisha sasa, akijua nini?
Hahaha!...lol.hahahahaaa..........I love that you hold it dear!!
Mbona ishakata? Au kwenu bado yanyesha?Hayo yaache.....
Leo nina bonge la story ngoja kwanza mvua ikate niitoe....
Nje imekata imeanza kunyesha ndaniMbona ishakata? Au kwenu bado yanyesha?