Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 757
Siku ya Alhamic kampuni ya meta kupitia mtandao wa Whatsapp wameweza kutambulisha mfumo mpya wa watu kuweza kutumia akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.
Sasa utaweza kuunda akaunti zaidi ya moja Yani inawezekana akaunti ya biashara na ya kawaida Kwenye Whatsapp moja bila ku log out au kutumia Whatsapp mbili au kutumia simu zaidi ya moja.
Kwaiyo unaweza kuunganisha namba zako mbili Kwenye Whatsapp moja kama ilivyo Kwenye Facebook, Instagram, telegram.
we fanya hivi hakikisha umefanya update ya Whatsapp Yako Kisha
#whatsapp

- ingia "setting" Kwenye Whatsapp
- ingia Kwenye "account" alafu tafuta
- neno "add account" utaweza kuunganisha akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.