WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Ukimwi unaua jamani naogopa kuchangia mie ...

Wenu Egyps
*********
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili
lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********
dear Egyps-women, pole sana sana kwa hilo, ila kuwa mpole kwanza usipende kutoa maamuzi haraka ktk jambo lolote. Tafuta siku ambayo mume wako ametulia na ana furaha, muongee kwa upendo hayo yote kwa utulivu na kwa nia ya kutafuta suluhisho tena ikiwezekana nje ya nyumbani (kama una weza kufanya hivyo), kabla ya yote muombe Mungu kwanza akusaidie na aseme na moyo wa mume wako ili ajutie jambo hilo na kuacha kabisa na akuombe msamaha
 
Kama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.
 
kama ni tabia ya mumewe,hata akiwaonya hao haitasaidia kitu...ataenda kwa wengine tu tena

Mkwara tu unasaidia, angalau hawatakua free kujiachia.
Sisi wanaume tunapenda angalau tuonewe wivu, sasa mkeo anajua vimada wako afu ameuchuna tu unategemea nini ka sio siku moja kuwaleta home na kukuambia tupishe kwa muda!.
 
Once a cheater always will be,

Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??

Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??

Pole sana dada.

Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.
 
kuna wadada wamepinda,unawapa mkwara ndo wanakazana kukuvuruga na matusi juu..wa ku deal nae ni mumewe..hao wengine 6 wote hatowamaliza..na wanaweza ongezeka ati..
Mkwara tu unasaidia, angalau hawatakua free kujiachia.
Sisi wanaume tunapenda angalau tuonewe wivu, sasa mkeo anajua vimada wako afu ameuchuna tu unategemea nini ka sio siku moja kuwaleta home na kukuambia tupishe kwa muda!.
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili
lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********

Haya ndio madhara ya mitandao. Lakini nyinyi ni watu wazima kaeni chini muongee na kufikia muafaka.
 
Ukiwa na wivu sana ujue muda wako wa kuachika unakaribia

Wivu ni moja ya vipimo vya mapenzi. Dada ana wivu na mumewe na hataki awepo mwanamke yeyote kati yao. Kwa kifupi analinda ndoa yake.
 
Yaani wakichati tu Ndio amekuchiti?????!!!!! Sijaelewa mie wa division five

Ok Elli kuchat sawa mie ningekuta kachat mambo ya kawaida ya msingi kuwa anatafuta kiwanja,shule ,maendeleo nisingekuja kulalama hapa ..wanachat mambo ya mapenzi kumisiana na mengineyo...Pulizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom