Whatsapp banned my number!!!!!

Cassnzoba

Senior Member
Feb 26, 2022
158
116
Habari wakuu

Moja kwa moja kwenye mada
Whatsapp imeban namba yangu. Je, naweza kuifungua?

Msaada wenu wakuu.
 
Msikariri sio lazima sababu iwe gb whatsapp, kuna watu wanatumia official WhatsApp na bado wanakula ban.
Sababu zinaweza kuwa kusend spams au kushare inappropriate content, ukiwa reported unakula ban vizuri tu.
Naambiwa hapa kuwa simu za OPPO zinakula sana ban whatsapp. Sijui OPPO walikosana na whatsapp au la. Chief-Mkwawa kuna ukweli?
 
Mbaya sana hiii
Mkuu umefanikiwa!?.. Usipanick fuata hizi steps, Ingia Playstore, halafu upande wa kulia juu kuna kiduara chaweza kuwa na herufi ya Jina lako kibonyeze, halafu utaona sehemu imeandikwa manage apps & devices ingia hapo, utakuta Gb Whatsapp, Og Whatsapp etc ipo hapo. Ibonyeze harafu iondolee ban itarudi kawaida kwenye simu yako. Ukichemka toa taarifa upewe alternative ukifanikiwa pia toa taarifa.
 
Pole kwa kuwa Banned Mkuu.

WAJUZI NA WAKUFUNZI WA WHATSAPP WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO (WASUBIRIE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom