Whats wrong with you?

Hahaha, umeonae? Pata picha huku klorokwini pale nitonye, kwa mbele kabakabana na SL wako na kangamoko afu zimelowa chapachapa, bendi isipouza kuna mkono wa mtu!

hehehe wifi hata ikiwepo pua ya mtu lazima tuuze chezea mauno ya kaby weewe?
 
Ya kwangu na wewe ndio ambayo hayazeeki bana na hii imesababishwa na jinsi unavyoweza kulisakata kabumbu ukiwa uwanjani...

Huoni ya kaby na huyo alieimbiwa hiyo taarabu hapo yamezeeka?

na yamekufa kabisa na yashazikwa!
 
Fresh, we ndio umeharibu siku dada angu.
Ah hapana huyu ni dada yangu pia na anamjua wifi yake so namshangaa anayemzingua......
Ila hakuna shida baadae tutakaa km wanafamilia tuone tunamsaidiaje kwa haraka maana ninavyomjua hakawii kugoma kula
 
Ok, ngoja aikalishe hiyo konyagi kwanza halafu tuone..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom