Whats wrong with you?

Hahaha, umeonae? Pata picha huku klorokwini pale nitonye, kwa mbele kabakabana na SL wako na kangamoko afu zimelowa chapachapa, bendi isipouza kuna mkono wa mtu!
Halaf huo mkono wa mtu wenyewe atakuwa husninyo tu, we unazani nani mwengine?
 
hehehe usjali baada ya hii post yaani nimerelax mpaka misuli ya kiungo cha uzazi. Leo ndio nimesibitisha kweli bana Mahaba hayazeeki
Ya kwangu na wewe ndio ambayo hayazeeki bana na hii imesababishwa na jinsi unavyoweza kulisakata kabumbu ukiwa uwanjani...

Huoni ya kaby na huyo alieimbiwa hiyo taarabu hapo yamezeeka?
 
Ya kwangu na wewe ndio ambayo hayazeeki bana na hii imesababishwa na jinsi unavyoweza kulisakata kabumbu ukiwa uwanjani...

Huoni ya kaby na huyo alieimbiwa hiyo taarabu hapo yamezeeka?

Dah! mbona kila post zikienda mbele unazidi kuntamanisha, huyu nitonye sjui aliibukia wapi bana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom