Hayo ni akinamama wamevaa vizuri. Ni picha nzuri kwa watu wenye heshima
Pole sana.
Hayo ni akinamama wamevaa vizuri. Ni picha nzuri kwa watu wenye heshima
tz bila ya udini inawezekana. lkn baadhi ya wakiristo watz wakibadilika imani na kuona tz ni ya wote na sio mali yao
nilhamu huyu alikuwa anamaanisha hii juicejamani mi nasema hivi kila nikiingia jamii photo kutizama yaliyopo ntakuta watu wamepost vic.upi wamepost vimini wasifia ma..t.ko ,,wapost sijui nini lakini leo kuyu aliepotea njia maskini kupost hawa wakina mama wenye heshma zao imekuwa keroo kwa kila mmoja wengine wauliza hao wako msikitini au ofisini wengine wasema sijui yaani maneno yamekuwa tele hakuna aliesifu hata mmoja kwanini??? au kwasababu wamejiheshimu?? mnavyopenda ni kuwa wavae mini??? msifanye hivyo shauri yenu lakini..
nilhamu huyu alikuwa anamaanisha hii juice
mimi naogopaga juice na vyakula vyenye maandishi ya kiarabu. kila ukila, hasa mwanaume 'spidi' inapungua.
Mimi naona haya ndio tatizo:
- Juice kwa mkuu tu?
- Hao kina mama msimbazi tu hakuna jangwani?
- Mkuu kasusa vitafunwa?
Sijapendaa kabisa kwa kweli jinsi microphone ilivyowekwa.kwani hapa msikitini au afisini?
Hhahahaha usichukie mamito utani ni mwingi humu jamvini.ni dhana yako tuu yakupotosha inshallah alllah akuepushie uweze kula,,,umeniacha hoi kwa mshanngao lool,
Who are these people? Speechless man