Whats wrong with this picture part 2

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
jk-ndege-3.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kutoka kwenye ndege ya kijeshi ya JWTZ JW 9242 F 7 G kutoka china wakati alipotembelea kikosi cha Anga Dar es Salaam Jana
03_11_aq19fn.jpg
Mtaalamu msaidizi wa rubani wa ndege za kijeshi za Jeshi la China,aliyetambuliwa kwa jina moja la Gao, akimwonesha Rais Jakaya Kikwete namna urushaji wa ndege ya kijeshi kutoka China wakati Rais alipotembelea Kikosi cha Anga cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Dar es Salaam.
jk-ndege-2.jpg
Rais Jakaya Kikwete, akiangalia ndege ya kijeshi JW 9242 F 7 G wakati alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing Dar es salaam jana.Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
 
Mbona hamna rubani wa kitanzania hapo ? au ndio yale ya uwanja wa Taifa wachina kuwa na mpaka funguo za choo miaka 5 baada ya kukamilika ?
 
Kwenye part 1 ya whats wrong with this picture anaonekana kama mtu mwenye huzuni lakini katika part 2 anaonekana akifurahia sana kupanda na kushuka ndege, inaonesha anapenda sana outdoor activities.
 
jk-ndege-3.jpg
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania dk. Jakaya mrisho kikwete akiteremka kutoka kwenye ndege ya kijeshi ya jwtz jw 9242 f 7 g kutoka china wakati alipotembelea kikosi cha anga dar es salaam jana
03_11_aq19fn.jpg
mtaalamu msaidizi wa rubani wa ndege za kijeshi za jeshi la china,aliyetambuliwa kwa jina moja la gao, akimwonesha rais jakaya kikwete namna urushaji wa ndege ya kijeshi kutoka china wakati rais alipotembelea kikosi cha anga cha jeshi la wananchi wa tanzania (jwtz) dar es salaam.
jk-ndege-2.jpg
rais jakaya kikwete, akiangalia ndege ya kijeshi jw 9242 f 7 g wakati alipotembelea kikosi cha anga cha jwtz airwing dar es salaam jana.picha zote na ofisi ya makamu wa rais

hapa anawaza kuonekana ''' check kaweka pozi la picha'''
 
hizo ndege zote zilishakuwa de-commissioned china, JWTZ is just a dumping place
 
Baada ya miaka mitano picha hiyo itawekwa na atasema hayo ni mojawapo ya mafanikio ya utawala wake.
 
Back
Top Bottom