da unanikumbusha mbaali, mi ni siku tumeblock na binti ambaye nilikuwa nampenda sana, afu she was a virgin, na nilihangaika sana kutunza hiyo kitu MPAKA NDOA kwa kipindi bado tuko kwenye r.ship. afu tuka block kiutani utani tu. kumbe alikuwa keshapata mchizi. nilipomwambia turudiane nimemsamehe naye anisamehe akagoma, akasema nafasi imesha jaa. MBAYA ZAIDI SIKU JAMAA ANAENDA KUFUNGUA MAKARATASI, DEMU ANANIPIGIA SIMU ANANIAMBIA, KUWA ANAENDA KUMPA MCHIZI MALI NILIYOITUNZA KWANI MIE NILISHINDWA SO KWA KUWA ANAMPENDA
BASI NDO ANAENDA KUMPATIA ZAWADI HIYO. SIYO SIRI NILIJIONA ZOBA, NILIUMIA SAAANAA. ila kwa kuwa demu alijirahisi jamaa alikula mzigo, afu akautelekeza (kumbe alikuwa ana demu mwingine). ni hayo tu....
The day-after taking care of a relationship for 3years nataka kuoa naambiwa nilishachelewa since the beginning of those years...why didnt she tell me before? I never knew. Mpaka nikadevelop loss of appetite for years!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.