What was the most painful experience in your love

Geraldo DaVinci

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
277
37
For me its was when I saw The only girl I loved and wanted, reconnect with her ex bf and rekindled their love. How about you?
 
da unanikumbusha mbaali, mi ni siku tumeblock na binti ambaye nilikuwa nampenda sana, afu she was a virgin, na nilihangaika sana kutunza hiyo kitu MPAKA NDOA kwa kipindi bado tuko kwenye r.ship. afu tuka block kiutani utani tu. kumbe alikuwa keshapata mchizi. nilipomwambia turudiane nimemsamehe naye anisamehe akagoma, akasema nafasi imesha jaa. MBAYA ZAIDI SIKU JAMAA ANAENDA KUFUNGUA MAKARATASI, DEMU ANANIPIGIA SIMU ANANIAMBIA, KUWA ANAENDA KUMPA MCHIZI MALI NILIYOITUNZA KWANI MIE NILISHINDWA SO KWA KUWA ANAMPENDA
A%20S%20kiss.gif

BASI NDO ANAENDA KUMPATIA ZAWADI HIYO. SIYO SIRI NILIJIONA ZOBA, NILIUMIA SAAANAA. ila kwa kuwa demu alijirahisi jamaa alikula mzigo, afu akautelekeza (kumbe alikuwa ana demu mwingine). ni hayo tu....
 
Nafikiri walio wengi wana majeraha mazito ya haya mambo, binafsi sitaki kuyakumbuka, Loh!
 
The day-after taking care of a relationship for 3years nataka kuoa naambiwa nilishachelewa since the beginning of those years...why didnt she tell me before? I never knew. Mpaka nikadevelop loss of appetite for years!
 
Yaliyopita c ndwele naganga yajayo nilishasamehe na kusahau ctaki kukumbuka tena!Namshukuru mungu sasa nina furaha......!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom