In contrast..............
Mkuu sikonge, umeua kila kitu!!!!
Siamini kama ni nyumbani Tanzania!!!!
Here will be your Office. Again, your welcome and real feal at home:
Ha!ha!ha! Si ajabu akifunguliwa tu mlango wa ofisi anapishana na Panya.Brother u made my day though it is so sad,tumethubutu,tumeweza tunasonga mbele kuelekea miaka ya 47
Hahaha dada yangu, si Panya tu. Na Mende hapa lazima watakuwa wengi wa kutosha na hasa mida ya jioni watu wakilala.
Na ili kuzidi kupata mshangao, mlangoni wanakuta Mende na Panya hao hadi wana Driving Licence maana wakitembea au kukimbia humo ndani na hasa mlangoni, wana KEEP LEFT.
niliwahi kwenda gov hospital nikaambiwa kaletehaja kubwa ili wapime looo choo chenyewe kilikuwa cha shimo
Hahaha dada yangu, si Panya tu. Na Mende hapa lazima watakuwa wengi wa kutosha na hasa mida ya jioni watu wakilala.
Na ili kuzidi kupata mshangao, mlangoni wanakuta Mende na Panya hao hadi wana Driving Licence maana wakitembea au kukimbia humo ndani na hasa mlangoni, wana KEEP LEFT. Sijui kitawashangaza wingi wa wagonjwa au wingi wa Mende na Panya.
Kweli inatisha na Mungu bariki sikusomea Uganga ambao nilikuwa na hamu sana nao. Ukishatibu sana Muhimbili na kufiwa na wagonjwa kibao, kubadilika na kuwa Serial Killer ni rahisi sana. Poleni sana Madaktari wetu.
Hao Madaktari kabla ya kuanza kutibu watu watapokelewa kwanza na kuugua marelia,halafu tuone nani atawatibu maana si wanasema wanakotoka Marelia kuugua ni almost impossible na magwiji wa kutibu marelia ni hawa madaktari wetu wa kibongo.Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya Kikwete.
...Natamani sana kuwaona maDr wa kichina wa Pinda. Ila itabidi nianze kuandaa mbavu maana sitahitaji kuchekeshwa na akina King Majuto tena. Ndipo watakapojua kuwa bongo ni zaidi ya waijuavyo.