What they will see in Muhimbili - Doctors from India, China and Cuba

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
This is Muhimbili Hospital..... Just Feel at home.

For you Indians it will be ok since you always living in dirt compounds.

For Chinese and Cubans Comrades, you are Communists and you will make it.

3202222_orig.jpg

424673_318693531515141_129370793780750_963642_1810838344_n.jpg
 
This is the BIGGEST Hospital in Tanzania and the BEST of the best......

4773493_orig.jpg

And that's why you can have the opportunity of treating the Aunt of Rama Mla Watu.
Kichaa.jpg
 
Here will be your Office. Again, your welcome and real feal at home:
419694_318694254848402_129370793780750_963663_921626702_n.jpg

432138_318693824848445_129370793780750_963651_2057943832_n.jpg
 
Aliye muhimbili apande wodi ya wazazi apo akongoli picha ya wazazi wakiwa kwa sakafu alafu aitupe umu!
Au hata kule mawodini ili Raia na hawa wageni wajue kuwa wanachotaka mdr is for real sio utani.
Mgonjwa anakufia kisa uhaba wa vitendea kazi apo kosa la dr au serikali.Na vifo ivyo vingi sana Tz
 
Kama noma na iwe noma tumechoka kuongozwa na wajinga wachache!
 
Mkuu sikonge, umeua kila kitu!!!!
Siamini kama ni nyumbani Tanzania!!!!

...Natamani sana kuwaona maDr wa kichina wa Pinda. Ila itabidi nianze kuandaa mbavu maana sitahitaji kuchekeshwa na akina King Majuto tena. Ndipo watakapojua kuwa bongo ni zaidi ya waijuavyo.
 
But all office of VINGUNGE, look real good. We are proud of them.......

AnnaMakindaBungeni(1).jpg
Us-Ikulu-JK.jpg

you can meet even Super Stars at our State house.

Kikwete%2Bna%2Bwachezaji%2Bna%2Bvioongozi%2Bwa%2Btimu%2Bya%2BIvory%2BCoast.JPG

Bill+Gatespix.jpg
 
Hahaha dada yangu, si Panya tu. Na Mende hapa lazima watakuwa wengi wa kutosha na hasa mida ya jioni watu wakilala.

Na ili kuzidi kupata mshangao, mlangoni wanakuta Mende na Panya hao hadi wana Driving Licence maana wakitembea au kukimbia humo ndani na hasa mlangoni, wana KEEP LEFT. Sijui kitawashangaza wingi wa wagonjwa au wingi wa Mende na Panya.

Kweli inatisha na Mungu bariki sikusomea Uganga ambao nilikuwa na hamu sana nao. Ukishatibu sana Muhimbili na kufiwa na wagonjwa kibao, kubadilika na kuwa Serial Killer ni rahisi sana. Poleni sana Madaktari wetu.
Ha!ha!ha! Si ajabu akifunguliwa tu mlango wa ofisi anapishana na Panya.Brother u made my day though it is so sad,tumethubutu,tumeweza tunasonga mbele kuelekea miaka ya 47
 
niliwahi kwenda gov hospital nikaambiwa kaletehaja kubwa ili wapime looo choo chenyewe kilikuwa cha shimo
 
Hahaha dada yangu, si Panya tu. Na Mende hapa lazima watakuwa wengi wa kutosha na hasa mida ya jioni watu wakilala.

Na ili kuzidi kupata mshangao, mlangoni wanakuta Mende na Panya hao hadi wana Driving Licence maana wakitembea au kukimbia humo ndani na hasa mlangoni, wana KEEP LEFT.

Hao Madaktari kabla ya kuanza kutibu watu watapokelewa kwanza na kuugua marelia,halafu tuone nani atawatibu maana si wanasema wanakotoka Marelia kuugua ni almost impossible na magwiji wa kutibu marelia ni hawa madaktari wetu wa kibongo.Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya Kikwete.
 
niliwahi kwenda gov hospital nikaambiwa kaletehaja kubwa ili wapime looo choo chenyewe kilikuwa cha shimo

Usisahau na kwa kina mama wajawazito kwenda na vifaa vyao wenyewe vya kujifungulia,acha Madaktari wagome jamani hali ni mbaya kuliko maelezo.
 
Hahaha dada yangu, si Panya tu. Na Mende hapa lazima watakuwa wengi wa kutosha na hasa mida ya jioni watu wakilala.

Na ili kuzidi kupata mshangao, mlangoni wanakuta Mende na Panya hao hadi wana Driving Licence maana wakitembea au kukimbia humo ndani na hasa mlangoni, wana KEEP LEFT. Sijui kitawashangaza wingi wa wagonjwa au wingi wa Mende na Panya.

Kweli inatisha na Mungu bariki sikusomea Uganga ambao nilikuwa na hamu sana nao. Ukishatibu sana Muhimbili na kufiwa na wagonjwa kibao, kubadilika na kuwa Serial Killer ni rahisi sana. Poleni sana Madaktari wetu.

I lyk this of being serial killer! I cud've kill all mp's and minister's ambao wangeleta sura zao kuzipumzisha tayari kwa kwenda India.
 
Hao Madaktari kabla ya kuanza kutibu watu watapokelewa kwanza na kuugua marelia,halafu tuone nani atawatibu maana si wanasema wanakotoka Marelia kuugua ni almost impossible na magwiji wa kutibu marelia ni hawa madaktari wetu wa kibongo.Ukistaajabu ya Pinda utayaona ya Kikwete.

Mbona hii nimewahi kuiona kwa macho yangu Dr.kutoka Uholanzi alipokelewa na malaria....
 
...Natamani sana kuwaona maDr wa kichina wa Pinda. Ila itabidi nianze kuandaa mbavu maana sitahitaji kuchekeshwa na akina King Majuto tena. Ndipo watakapojua kuwa bongo ni zaidi ya waijuavyo.

Madaktari wa nchi hizo wamezoea kufanya kazi katika mazingira magumu kuliko hayo ya muhimbili India na cuba wakifika hapo muhimbili watashangaa palivyo pazuri kufanya kazi.Kama unabisha nenda india hospitali za serikali za majimbo za India na Cuba ukaone.Wakija hapa wataomba hata uraia kabisa na kuomba wapewe ajira za kudumu hapo muhimbili.

China ajira ni adimu hivyo daktatari akija hatajali mazingira.Usifikiri wakifika watashangaa ila watafurahi.
 
Back
Top Bottom