What the @#$#@ is going on?

Ukimwona makamba anafanya vikao mara kwa mara na Rostam, Lowassa na nk ujue haya ndio mambo. 2010 epa haipo kwahiyo hii imo. sasa wale watetezi wa Dowans waseme na hili walilijua kwamba ilikuwa kwenye plan, kuitetea halafu inunuliwe??? Nakulilia tanzania unaliwa ukiwa unaona.
 
Unajua kitu kimoja ninachokiona ni kuwa wanaogopa sana fedha za wafadhili. Hata Kikwete alipozungumza na mabalozi aliwaambia kuwa fedha za EPA zilizoibwa siyo za wafadhili. Linapokuja kwenye fedha wenye dili wenyewe yaani Watanzania inaonekana mipaka ni kalamu zao tu.
 
Mkuu M.M.M, ni kweli kabisa. Unajua wafadhili wanakupa then wanaleta Auditors ili waone kulikoni kwenye mipesa tuliyowapa. Angalia issue ya WB na mambo ya mradi wa maji safi na maji taka kwa jiji la DSM, si unaona wanavyopepetwa sasa!!

Hivi vijisenti vyetu vya kodi (ambazo wanatuchinja sisi wafanyakazi wa kawaida), ile hata wakila wanajua ikifika wakati wa kura watahonga, watatoa pilau, wataiba kura na watachaguliwa... Hii ni hata kama walipa kodi wakihoji namna gani kuhusu matumizi. Wewe umeona wapi CAG anasema hajaambiwa kufanya Audit Ubungo bus terminal eboo, ina maana daktari akikuta mgonjwa wa ajali (pale ni kama ajali manake pamekufa lakini fweza zaingia daily) ataacha kumtibu eti mpaka aambiwe kufanya hivyo?? Where is "COMMON SENSE?"
 
kazi kweli kweli kwa nini Urambo?au Mama kamsukumizia Baba....Speaker????maan mama yuko...Maendeleo jamaii........kazi ipo kupanga mipango na kuwachomekea mafisadi juu kwa juu....wanatumia gharama kubwa mara 3 kuwakomoa kina JF hahaha kazi ipo wanasema tuone kama watatupata na hapa....wachumi wa Tz hawana chao...wakishaandika wanakaa pembenii wanapisha wanasiasa wapige bao...
 
"watakwambia hiyo ilikuwa kabla ya "economic downturn".."

MKJJ: Au pengine hizo za ziada zilikuwa ziende mifukoni mwa watu wengine waliosahaulika ktk mchakato hapo awali.
 
I was just pointing out what was posted, the funds that were circled with regards to child protection and those others, if you look at the source...siyo hela zetu...UBUNGO project was 100% hela za watanzania...sasa kama donors wametoa hela kwaajili ya ku-fund hizo projects, shida iko wapi...
LOOK AT THE SOURCE COLUMN kabla ya kukasirika...wote hapa tunafahamu na hatutetei wezi hao..walipanga tangia zamani kuiba hao.

We may not agree on where the funds are going but the source of the money and what its planned for is the issue.

Mwanahabari,

Yes I am mad to your dismissive nature! Kwangu mimi nilivyokuelewa ni kuwa alimradi pesa si etu, basi hakuna haja na kuwa na hasira kama pesa zitatumika zisivyopaswa!

Ukilipiti jedwali, reaction ya kila mtu ni pesa za Dowans, na hasira ni kuwa eti kwa kuwa ni pesa zetu. Je hizo program nyingine, kama zimeshindwa kufanikiwa na kuleta matunda au kwa kuwa pesa si zetu kuna uwezekano zimehujumiwa na hivyo kukosekana kwa hasira zetu ndio iwe halali?

I am against the attitude of of reckless and the misuse of funds period! If the money came from WB, IMF, US, China or Comoro, we better get a good use of it and positive and progressive results should be achieved and not use hte funds through wasteful spending or squander!
 
I am not ready dismiss other funds kwamba ni ulajisome are really helping people, I just look at it on a case by case basis, na ni vizuri watu kufuatilia line by line kuona kwamba hizi fedha ni dili au...kama walivyodaka hizo za dowans, leo tunaona dili lilikuwa limeshapangwa...keep on connecting the dots za uchafu wa hawa watu..good job people
 
Mkiambiwa CCM ni Chama cha Majambazi mnabisha.
Hawa hawana tofauti na majambazi maana nao wauaji tu wangapi watu wanateseka kwa kukosa haki za msingi?Wengine wanakufa kabisa.
 
i329_miradi2008.jpg

i330_miradi20082.jpg

Wakuu kwangu haifunguki.
 
Mfumo wa kuleta maendeleo kwa Tanzania umetengenezwa kwa umakini na madhubuti kabisa kukidhi mahitaji ya mafisadi na watendaji wabovu..!!

Watanzania ni lazima wawe tayari kujitoa mhanga sasa ili kubadili hali halisi, la sivyo watoto wa viongozi wa leo watarithi mfumo huu huu na kuendeleza kwa malengo yale yale ya sasa.
 
Watoto wa viongozi WAMESHARITHI mfumo huu. Angalia wizara zote and all govt institutions, watoto, ndugu wa wafanyakazi na viongozi wengi wapo na wamejaa kwenye post mbalimbali. We have a long way to go..i guess we need to go through something really bad (tsunami, some violent political revolution of some sort) to wake up and change. Maoni tuu
 
I am with you this...Recall my text "kujitoa mhanga", in positive means..!!
 
Watoto wa viongozi WAMESHARITHI mfumo huu. Angalia wizara zote and all govt institutions, watoto, ndugu wa wafanyakazi na viongozi wengi wapo na wamejaa kwenye post mbalimbali. We have a long way to go..i guess we need to go through something really bad (tsunami, some violent political revolution of some sort) to wake up and change. Maoni tuu

Mkuu Kaping..., duh, hapo inakuwa ngumu kama ukiweka such a conclusion manake...... Ina maana mtoto wa baba ambaye ni fisadi lazima awe pia?? hapana kuna mengi ya kuangalia prior to crucifying the poor kids!!! Jamani judgement za namna hii zinaongeza chachu against families, tribes, religions etc na hazina any constructive outcoume, eventually...... Hatukatai kuna wenye mapungufu ya urithi lakini tukumbuke kuwa "MTU HARITHI TABIA". Usitegemee kwa vile mzee au mama ni mstaarabu watoto nao ni vivyo hivyo, la hasha, tembea ujionee!!

naomba kuwakilisha!!
 
Kama ni mpango wa maendeleo, labda utakuwa uliandaliwa na Mgosi Tambwe Hizza!
 
Back
Top Bottom