steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 9,571
- 10,276
Hapana we bado sana kufahamu sababu za kuvamiwa Iraq, sababu ya Iraq kuvamiwa ilikuwa tishio kubwa kwa Israel.
Mungu hapigi kwa fimbo, walipo ivamia Iraq wakajua sasa Israel ataishi kwa amani, katokea Iran sasa Israel anajiharia tu, bora hata Iraq alikuwa hana nguvu sana kama nguvu alizo nazo Iran kwa sasa.
Israel ataishia kujiharia hata Iran avamiwe na USA watatokeza wengine.
Kumbuka Mungu wa wa Islam ameisha wapa ahadi waislam watakuwa na nguvu kuliko wakristo, pale waislam watarudi kufata kitabu cha Mungu Quran, lazima ujuwe wako wasilam wengi ni majina tu, wa kwanza viongozi wa Saud Arabia, wao Israel ni kipenzi chao kuliko Hamas na Hazbullah.
Duuuuuuuuuuuuh,mi kwenye sijui uislamu au ukristo kuwa au kutokuwa na nguvu sipo Mkuu,mi najua marekani alizuga kuwa Iraq ni tishio kwa Israel,ila target haikuwa hyo Mkuu,target ilikuwa ni mafuta tu na ndiyo maslahi yenyewe hayo kaka,hata huko Iran wana target yao pia na sio eti kama mnavyojidanganga eti kisa Iran ni hatari kwa Israel,kwani hakuna ilichonacho Iran,Israel isiwe nacho,so itakuwa tishio kwa lipi