What Killed Arafat? Swiss scientists say he was Poisined (Polonium)

Status
Not open for further replies.
Watch Arafat Killing Al jazeera 10th november 1900 GMT
 
Last edited by a moderator:
Dunia ingekuwa na usalama kama kungekuwa hakuna taifa la kiyahudi, watu walio laniwa na Mungu sidhani kama unaweza kuishi nao kwa amani. Arafat alifanya kosa sana ku sign nao peace.

Katika dunia nzima nchi inayo pinga vitendio vya UN ni Israel peke yake.

Katika dunia zima taifa lilouwa Mitume wa mwenyezi Mungu ni Israel peke yake, vipi lishindwe kuwauwa viongozi kama kina Arafat. Mungu hajakosea aliposema msiwafanye mayahudi na manasara kuwa marafiki zenu hao hawana rafiki.

Israel haijalaaniwa hata kidogo hizo laana ambazo unawaelekezea Israel zinakurudia wewe. Endelea kutamka hayo lakini kama huwezi kuelewa endelea kuwalaani Israel yatakapokupata ndipo utakapoelewa. Nilikutana na mtu wa imani ya kwenu ambaye hakosi swala akaniambia kuwa wale watu (Israel) wamebarikiwa kama ulivyosema kuwa wanaweza kuupinga Umoja wa mataifa na hakuna anayeweza kufanya lolote dhidi yao.
 
Hivi kwani kuna Taifa linalopigania kuwashinda waislamu Duniani,kwa lipi hasa hili Taifa lifanye masuala hayo kwa Waislamu,waislamu wamefanya nini zaidi hadi hili Taifa litake kupambana nao??
Kaulize USA nchi ngapi za kislam kazivamia na kwa sababu gani, mbona hasogei kuivamia Israel ni nchi peke yake duniani inayo pinga sheria zote za umoja wa mataifa.
 
Israel haijalaaniwa hata kidogo hizo laana ambazo unawaelekezea Israel zinakurudia wewe. Endelea kutamka hayo lakini kama huwezi kuelewa endelea kuwalaani Israel yatakapokupata ndipo utakapoelewa. Nilikutana na mtu wa imani ya kwenu ambaye hakosi swala akaniambia kuwa wale watu (Israel) wamebarikiwa kama ulivyosema kuwa wanaweza kuupinga Umoja wa mataifa na hakuna anayeweza kufanya lolote dhidi yao.
Nani aliye wabariki Paulo?

Nchi yenye kubarikiwa vipi iwe inasaidiwa? Israel hawezi kuipiga Iran akapige nchi zote za umoja wa mataifa? Hivi wewe una akili kweli.

Unaye sema anauwezo wa kupiga dunia nzima, kila siku anaomba USA ndio itangulize kichwa kule Iran au Syria au ajaribu tu kusogeza jeshi lake lebanon uone.
 
Kaulize USA nchi ngapi za kislam kazivamia na kwa sababu gani, mbona hasogei kuivamia Israel ni nchi peke yake duniani inayo pinga sheria zote za umoja wa mataifa.

U.S.A anazivamia nchi za kiislamu kwa kuwa zina waislamu wengi au kuna lingine nyuma ya pazia?
 
Dunia ingekuwa na usalama kama kungekuwa hakuna taifa la kiyahudi, watu walio laniwa na Mungu sidhani kama unaweza kuishi nao kwa amani. Arafat alifanya kosa sana ku sign nao peace.

Katika dunia nzima nchi inayo pinga vitendio vya UN ni Israel peke yake.

Katika dunia zima taifa lilouwa Mitume wa mwenyezi Mungu ni Israel peke yake, vipi lishindwe kuwauwa viongozi kama kina Arafat. Mungu hajakosea aliposema msiwafanye mayahudi na manasara kuwa marafiki zenu hao hawana rafiki.

Hapo kwenye RED unamzungumzia Mungu yupi? Mungu wa Kweli (Wanaomwamini Wakristo ) hajasema hivyo, maana Mungu wetu ni wa upendo si wa mafarakano.
 
Huna unalojua hata moja. Umejaa jazba na ubabaishaji.
Kwani mimi nimetoa kichwani kwangu hayo si yote yako kwenye Bibilia.

Wewe sema ni kipofu huoni sababu Paulo kisha watoeni macho mmebaki mnatembea kwenye msitu wa Bibilia kama anavyo sema kijana mmoja hapa Echolima, wanao tembea humo wanakuwa vipofu kabisa hawaoni, wasilam wikingia kwenye Bibilia wanaona kabisa, ndio sababu tunawapeni Bibilia inasema nini.
 
Last edited by a moderator:
Iraq alivamia sababu gani?

Ndio ujue hapo Mkuu kinachovamiwa sio uislamu wa hzo nchi,bali ni maslahi binafsi tu ya Marekani kwa nchi hzo,sema watu wengi tunachanganya masuala haya na imani zetu ndio maana kila siku mijadala ya aina hii huwa haiishi,hata sisi tutavamiwa tu huko siku za mbeleni hata kama ni indirect
 
Hapana we bado sana kufahamu sababu za kuvamiwa Iraq, sababu ya Iraq kuvamiwa ilikuwa tishio kubwa kwa Israel.

Mungu hapigi kwa fimbo, walipo ivamia Iraq wakajua sasa Israel ataishi kwa amani, katokea Iran sasa Israel anajiharia tu, bora hata Iraq alikuwa hana nguvu sana kama nguvu alizo nazo Iran kwa sasa.

Israel ataishia kujiharia hata Iran avamiwe na USA watatokeza wengine.

Kumbuka Mungu wa wa Islam ameisha wapa ahadi waislam watakuwa na nguvu kuliko wakristo, pale waislam watarudi kufata kitabu cha Mungu Quran, lazima ujuwe wako wasilam wengi ni majina tu, wa kwanza viongozi wa Saud Arabia, wao Israel ni kipenzi chao kuliko Hamas na Hazbullah.
 
Mkuu soma vizuri historia ndo utaelewa.
Tatizo kubwa la Israel ni la kihistoria na si la kiimani kama unavyotaka kuliweka.

Kwanza kabisa Israeli si taifa ls Kikristo ni la kiyahudi.
Pili hata mimi Mkristo siungi mkono ubabe wa Israeli hapo Mashariki ya Kati, kwa vile kama Afrika kuna wsnaoonewa sana bila hatia yoyote.
Tatu tatizo la Mashariki ya Kati ukiliweka kiimani halitokwisha, suala ni mipaka na tusisahau kuwa Isrsel kama taifa la Kiyahufi hslina tofauti kiitikadi na Mataifa ya Kiislamu.
Wote ni watu wa jicho kwa jicho.
 
Nani kasema Israel ni taifa la kikristo?

Nilicho sema USA anaingia vita sababu ya Israel, tazama alitaka kuingi Syria sababu ya Israel, alitaka kupigana na Iran sababu ya Israel, we uliwahi kuona wapi USA akapigana vita za middle east sababu yake yeye?

Iraq walikuwa wanataka wanacho taka kwa Saddam na wao ndio walikuwa wanampa support Iraq ili awashinde vita wa Iran, ghafla tu akageuka kuwa adui ya Iraq, sababu eti kavamia Kuwait na wakati wao ndio walimpa green light Saddam avamie Kuwait.

Hapo walitega mtego ili waisambaratishe Iraq, sababu ilisha kuwa tishio kubwa sana kwa Israel.

Kama hujui hata Obama hawezi kufanya kitu bila kuwashauri Israel, hata kufanya mazungumzo na Iran lazima awambie Israel kitu gani anacho ongea na Iran.
 
Mbona unakana ulichokiandika mkuu, au umeandikiwa?
Soma bandiko lako la awaliara ya mwisho na endelea kuifafanua...
 
Nani aliye wabariki Paulo?

Nchi yenye kubarikiwa vipi iwe inasaidiwa? Israel hawezi kuipiga Iran akapige nchi zote za umoja wa mataifa? Hivi wewe una akili kweli.

Unaye sema anauwezo wa kupiga dunia nzima, kila siku anaomba USA ndio itangulize kichwa kule Iran au Syria au ajaribu tu kusogeza jeshi lake lebanon uone.

hukumbuki le mwaka mataifa karibuyo te ya kiislam yalivotaka kuivamia izrael,nn kilitokea,uliza ama we n kizazi kipya unakariri,hujiuliz izrael ilivo ndogo na iko katikat ya nchi za kiarabu lakini inasavive
 
Mbona unakana ulichokiandika mkuu, au umeandikiwa?
Soma bandiko lako la awaliara ya mwisho na endelea kuifafanua...
Tatizo hapa we ndio hufahamu mimi nasema nini, nilicho sema toka mwanzo nchi za ki Islam zinapigwa vita na manasara na wayahudi we ukabisha, ukasema sio mambo ya dini.

Kama si mambo ya dini ni kitu gani USA anavamia nchi za kiarabu na za kiislam.
 
hukumbuki le mwaka mataifa karibuyo te ya kiislam yalivotaka kuivamia izrael,nn kilitokea,uliza ama we n kizazi kipya unakariri,hujiuliz izrael ilivo ndogo na iko katikat ya nchi za kiarabu lakini inasavive
Wewe unaongea wakati ule kuna nchi za kiarabu hata kwenye MAP ya dunia zilikuwa hazina hata jeshi wala maendeleo wala hazijajulikana.

Wakati Israel alipigana vita na warabu hakupigana na warabu wote kama mnavyo taka kumkuza Israel kubabe hapo.

Israel alipigana na nchi mbili tu Egypt na Syria, na kw akiasi flani Iraq hao warabu wengine hakuna hata mmoja alipeleka jeshi, Jordan alikuwa anaipa infomation Israel sa huwezi kusema alikuwa upande wa warabu.

Wakati israel alikuwa akipigana na ma taifa ya kiarabu, lazima ujuwe ni taifa gani lilopigana sio useme warabu wote hujioni kama wewe ni mjinga.

UAE, Oman, Qata, Baharain zilikuwa hata haziko kwenye vita hio wala hata kutoa msaada wa pesa, nchi hizo nyingi zimeanza kuinukia duniani ni kwenye 70 na mpaka miaka 1973 wengine hata jeshi na silaha walikuwa hawana.

Yemen hakupeleka jeshi alipeleka kikosi tu labda cha watu 50, Morocco, Libya, Tunis, Algeria hawakuwa na majeshi upande wa vita hio.

Saud Arabia hukupeleka jeshi, Kuwait hakupeleka jeshi, Sudan hakupeleka jeshi nchi ambayo ilingia kwenye vita time ya mwisho ni Iraq na ndio walioweza kuyasukuma majeshi ya Israel yasiteke Damascuss zaidi ya hapo utakuwa unaota tu kama Israel ataweza kuzipiga nchi za kiarabu kwa ujumla.

Israel kwa sasa anaweza kupigwa vita na nchi tatu tu za kiarabu na zikamsambaratisha.

Egypt, Syria na UAE na ziweka pembeni Saud arabia, Algeria na Morocco.
 
Kulingana na taarifa ya habari BBC, Yasser Arafat inaelekea aliuwawa na radio active substance ambayo ilikuwa na Polonium 210.

Polonium 210 ni aina ya sumu ambayo ni radio active na husababisha kansa za kila aina.
Huko Uswisi sample za mwili wa Arafat pamoja na udongo uliozunguka kaburi lake vilikutwa na chembe chembe za sumu hiyo ya Polonium 210.

Mtuhumiwa nambari wani wa kumwekea sumu hiyo ni Idara za Ujasusi ya Israel, Shin Bet na Mossad.

weka ushaidi usipende kuskumwa na hisia.
 
Ndio ujue hapo Mkuu kinachovamiwa sio uislamu wa hzo nchi,bali ni maslahi binafsi tu ya Marekani kwa nchi hzo,sema watu wengi tunachanganya masuala haya na imani zetu ndio maana kila siku mijadala ya aina hii huwa haiishi,hata sisi tutavamiwa tu huko siku za mbeleni hata kama ni indirect

Umesahau kitu kimoja baada ya kuanguka kwa vita baridi kati ya Amerika na Russia adui pekee aliyebaki wa ubepari Duniani ni Uislam, ndio maana uislam umekuwa mlengwa mkuu wa hujuma za marekani na marafiki zake.
 
Tatizo hapa we ndio hufahamu mimi nasema nini, nilicho sema toka mwanzo nchi za ki Islam zinapigwa vita na manasara na wayahudi we ukabisha, ukasema sio mambo ya dini.

Kama si mambo ya dini ni kitu gani USA anavamia nchi za kiarabu na za kiislam.
Mkuu ni lazima tuwe na a keen debate katika hili swala na tusipojipambanua tunabishania nini ni rahisi kutoona the underlying facts.

Kwanza kwa vile huja fafanua kile nilichokuchallenge katika posti yako kuwa mapambano ya Israel na Waarabu ni ya Ukristo na Uislamu, kubali kuwa swala sihilo maana kabla ya 1948, lilipoundwa Taifa la Israel hayo mapambano haya kuwepo.

Na vile vile nimekuchallenge kuwa Israel si taifa la Kikristo bali la kiyahudi, na kwamba kimtizamo dini ya Kiyahudi inafanana sana na ya Kiislamu katika mambo mengi.
Na tabia za wayahudi na waarabu zinafanana sana moja na kubwa ikiwa ni kulipiza kisasi.

Tukiweka msingi huo ndo tutaingia sasa kupeana mawazo ya yote yanayoendelea Mashariki ya Kati, msimamo wa nchi kubwa duniani, utajiri wa mafuta, geopolotical influence ya utajiri wa Waarabu.

Kuyachukulia mamba haya kuwa conflict kati ya Uislamu na Ukristo ni kukosa upeo wa yote yanayojiri na yyaliyo jiri..

Kati ya watu walioliona hilo kwa mapana sana ni Yasser Arrafat, mwanzilishi wa PLO, ambaye alipigania haki ya utaifa wa watu wa Palestina, sehemu iliyochukuliwa kwa nguvu na Israel.
 
Umesahau kitu kimoja baada ya kuanguka kwa vita baridi kati ya Amerika na Russia adui pekee aliyebaki wa ubepari Duniani ni Uislam, ndio maana uislam umekuwa mlengwa mkuu wa hujuma za marekani na marafiki zake.

mbona uislamu mkuu ni poa sana,uislamu unazuia vipi bepari asifanye yake hadi auchukie,kama sehemu zenye mafuta kama nchi za uarabuni ambapo ndipo uislamu ulipoweka mizizi yake hao mabepari ndo wanaochimba hayo mafuta kupitia makampuni yao,sasa kuna nini tena zaidi ya maslahi tu mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom