What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

Habari wana JF…..
:poa

Pamoja Saana
ADI.
Ni vizuri kujikumbusha yale ya utoto. Ndio umri pekee unaoishi ki"innocent-innocent" bila ya kuhukumiwa kwa utoto wako, ingawa utahukumiwa kwa matendo yako kama sehemu ya mafunzo na sio kuonewa. Ndio umri pekee unapoweza kusema na kutenda lolote, ukiwa mkubwa ukaweza kulihadithia bila ya majuto kwa sababu "ulikuwa mtoto". Ukipita umri huo, na mtu akikuambia au kukushutumu kuwa unafanya mambo ya "kitoto", jisahihishe haraka.

Yote tisa, la kumi Dada AshaDii, sikiza kilio cha First Lady1, na mimi na wadau wengine tunataka kusikia "Childhood" yako.
 
Kitu ingine ya ODM....

Nlikuwa mtaalam wa kuweka kioo chini ya miguu ya mabinti tukijipanga mstari shuleni. Basi nikifanikiwa kujua rangi ya andawea ya binti, asiponinunulia ubuyu darasa zima watajua! Blackmail ya kitoto ilikuwa.

ODM bana.....

Wakati nikiwa timekeeper nlikuwa nafanya manjonjo mpaka naingia ofisini kwa mwalimu mkuu kusogeza saa mbele.... Kisa? Muda wa mapumziko uwahi kufika tukacheze chandimu. Walimu walikuwa wanashangaa kwanini kila siku saa ya ukutani kwa mwalimu mkuu ilikuwa inatangulia kulinganisha na saa zao...... wakaweka mtego siku ya siku nikanaswa......

Kengele ikagongwa wanafunzi wakakusanyika tayari kushuhudia ODM akitandikwa bakora kwa utovu wa nidhamu.... tena kwa walimu kupokezana.... Hawakumjua ODM vizuri masikini. Enzi hizo nasumbuliwa na ugonjwa wa kutoka damu puani..... bakora ya kwanza mzee mzima nikajiangusha chini pwaa.... damu ikatoka puani kama maji! Adhabu ikaishia hapo na kuzawadiwa kupumzishwa chini ya kimvuli....(ofkozi nikibembelezwa).

Chezeya ODM wa enzi hizo weye!

heee haya ni maajabu ya mwaka!,aiseeee jf is never boring
 
Hahahahaha hahahahha hahahah uwiiiiiiiiiiiii mie mbavu zangu lol!
kwa hili ndio nimecheka mpaka basi ushuzi tena,
Hki ya nanni babu hujabadilika kbs,vituko vyako vya udogon nahisi vimekuwa advanced ukubwan lol!

hahaha mamie umenena ningekuwa situmii mchina wangu ningekugongea like lol,
 
M_J hio avatar inanifanya nisiamini kama usha tia discipline....lol
naona kama utundu uko pale pale....

btw.... mama vipi alikua anaogopeka kama kina mama wa Kenya? (I kid!)

Of coz..........ungekuwa frend wangu kuleeeeee ningekupa link ya my dedication to this Iron lady.............Mzee mwenyewe alichemsha hapo!

Ushawahi kujaza upepo kwa mdomo?.............nilikumbana na adhabu hii baada ya kutoa upepo wa taxi ya mzee mmoja alipokuja "kuongea " na dogo dogo wake! wakati huo nikiwaa na miaka 8 ; kila akija tulikuwa na tabia ya kutoa upepo kwenye matairi...........siku hiyo alitutegea wenzetu wa2 wakafanikiwa kumtoka tukabaki wa 2 ..........mzee akatoa adhabu kuwa tuzijaze tairi 4 kwa kupuliza na mdomo!
 
nilishawahi kuruka uzio wa michongoma nikikimbia kichapo cha maza; akiwa amepitia jeshi alikuwa anao uwezo wa kutokan sambamba......ila namshukuru mama yangu alinichapa mpaka nikatia displini ya maisha............!
Baada ya yote, ni pale tukishakuwa wakubwa, (na hasa pale na sisi tunapokuwa na ulezi), ndipo tunapogundua kuwa "maza na faza" walikuwa right kwenye nidhamu zao katik malezi.

Most of us would have been lost if it were not for what we thought at those times that it was an "iron hand". Thanx to that "iron hand that rocked our craddle" now we are what we are.
 
hahaha mamie umenena ningekuwa situmii mchina wangu ningekugongea like lol,
Usijali mamito kimoyomoyo ndio ushanigongea atii!
Huyu mzee ni noma,mpatie picha alivokua kakijana ka miaka 13-18,hizo fix zake changanya na vituko vyake,hahahahhah!
ODM noma aisee!
 
Usijali mamito kimoyomoyo ndio ushanigongea atii!
Huyu mzee ni noma,mpatie picha alivokua kakijana ka miaka 13-18,hizo fix zake changanya na vituko vyake,hahahahhah!
ODM noma aisee!

huyo ndo sweet babu hahahaha ananipa raha kweli kweli,kama namuona alivyokuwa anawapiga fix wadada wa enzi zao lol
 
kombolela nlikuwa bingwa wa kujificha na vibinti kuna siku tumejificha tunafanya ufiraun si tukakamatwa nkaperekwa kwa mzee alinidunda mpk nikamkana si baba angu nkarudishwa kwa mama tukuyu!
 
kunaa midigi mikauzuu,nakumbuaa mjini hatunaa shambaaa,afu fazaa kaletaa mbuzii wawili anataka kilaaaa siku waleee,tunaendaa kuibaaa maduuuu[majani ya mgombaa}kunaa siku mwenye shambaa akanikamataaa,dah!!nilimtishiaa kama na mkataa na lileee pangaaaa akaachiaa njiaaa,mzee nilifungukaaaa zaidi ya chitaaa,nafikaa home mdigi ananiambiaaa ujaleta majaniii..rudi kalete.
 
huyo ndo sweet babu hahahaha ananipa raha kweli kweli,kama namuona alivyokuwa anawapiga fix wadada wa enzi zao lol
Hahahah... Chup.i ya hausgel wetu ilikuwa inanikoma. Akiianika naivizia natimka nayo chooni. Naizungushia dudu yangu huku nikipump ashhh ashhh.... Nikimaliza nairudisha nikiwa nimeridhika vby! Siku alipokuja kunifumania akanivutia chumbani tukafanya tabia mbaya.... Alinibikiri yule mdada manina zake. Jidada hovyoo...
 
daaaaaaaaaah haahahaha mi hapana jamani Babu naomba nikupe shkamoo.. U have truly made my day!
 
Hahahah... Chup.i ya hausgel wetu ilikuwa inanikoma. Akiianika naivizia natimka nayo chooni. Naizungushia dudu yangu huku nikipump ashhh ashhh.... Nikimaliza nairudisha nikiwa nimeridhika vby! Siku alipokuja kunifumania akanivutia chumbani tukafanya tabia mbaya.... Alinibikiri yule mdada manina zake. Jidada hovyoo...

Babu babu ndio maana huachi kuwa na vidosho. Hapa niko kibaruani imebidi nijifache natoka nje nimefika mlangoni nimekenua ile mbaya maana nimeshindwa kujizuia
 
Anti mi nakumbuka siku zile mama alaikua anapika cake ya desert ya chakula cha jioni
alafu tunajifanya hatutaki kula dessert, mama anaweka cake kwenye fridge na tunakubaliana tutaila asubuhi na chai.
Usiku tunaamka, tunaenda kuiba cake and eat it all, asubuhi anashangaa, nani kaiba cake?
Tunasema ni panya (in fact ni Jerry the mouse) anashangaa!:
sasa mbona panya alitumia kisu kukata cake? na cake ilikua kwenye fridge?
tunachekaaaa but we believe kabisa kua tumepiga Mission Impossible!
Mwaka jana nilimuona Mum anafanya yale yale na nieces wangu, na usiku nieces wanaiba cake!
nikamuuliza: so you knew???? Nimesha kua mkubwa but I guess I still believed she thought ilikua panya. lol
That was sweet... innocence of childhood. lol
 
Hahahah... Chup.i ya hausgel wetu ilikuwa inanikoma. Akiianika naivizia natimka nayo chooni. Naizungushia dudu yangu huku nikipump ashhh ashhh.... Nikimaliza nairudisha nikiwa nimeridhika vby! Siku alipokuja kunifumania akanivutia chumbani tukafanya tabia mbaya.... Alinibikiri yule mdada manina zake. Jidada hovyoo...
Astaghafirullah! :shock:
 
Mwali mie memiss wewe sana! How are you?
 
Hahahah... Chup.i ya hausgel wetu ilikuwa inanikoma. Akiianika naivizia natimka nayo chooni. Naizungushia dudu yangu huku nikipump ashhh ashhh.... Nikimaliza nairudisha nikiwa nimeridhika vby! Siku alipokuja kunifumania akanivutia chumbani tukafanya tabia mbaya.... Alinibikiri yule mdada manina zake. Jidada hovyoo...
Aisee!
 
Asha nime noti kitu kimoja hapa,mboko.Scoffield,Nasikini jeuri,Nitonye et al wanaongelea experience ya kulambwa mboko utotoni,Scoffiel na Maskini Jeuri wana appreciate faida ya mboko hizo. I happen to be mmoja wa ambao hawakupigwa na mama wala baba na wanangu ( eldest in mid 20's anajitegemea,youngest teeneger) na maishani mwao sijawahi kuwagusa na bakora na mama zao huwa nina wa discourage kuwachapa wanangu.
Do me a favour,ukipata muda shusha uzi maalum tujadili pros na cons za malezi haya ya bakora vs non bakora ( I for one i treat it as domestic violence)
 
Back
Top Bottom