What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

Cantalasia, Kabakabana,Sweetlady na Mwali hapo juu. Tafazali acheni kuchakachua sredi ya shem wangu ADI. Ye kasema tumwage ya utotoni nyie mwasema nimepinda.... Ningewaambieni kisa cha mie kutahiriwa kwa zarura si mngekoma? Nlikuwa nakabiliana na tatizo la kukojoa kitandani nikaibuka na mbinu mpya, eti nikaziba govi kwa gundi.... Nilitesekaje?
 
sweet moment yangu utotoni nakumbuka niko vidudu na Lizzy kwa mama Holmes oysterbay,we acha tu,lunch box yangu ilikuwa full mapochopocho na sweet moment yangu ilikuwa kumgaia kashata na tamtam.
 
Nina gobole langu aliloniachia babu sasa nalipaka mafuta nikufyatue nalo

Asubuhi nilitaka kufungua bucha,baada ya kusikia harufu kali ya damu.. Shemu SL akanipliiz....

Sasa nakuuliza wewe... Nifungue nisifungue....?
 
Cantalasia, Kabakabana,Sweetlady na Mwali hapo juu. Tafazali acheni kuchakachua sredi ya shem wangu ADI. Ye kasema tumwage ya utotoni nyie mwasema nimepinda.... Ningewaambieni kisa cha mie kutahiriwa kwa zarura si mngekoma? Nlikuwa nakabiliana na tatizo la kukojoa kitandani nikaibuka na mbinu mpya, eti nikaziba govi kwa gundi.... Nilitesekaje?
Hahahaha! Khaaaa!
 
OMG,is this true?kama ni super glue sidhani kama kuna kitu kilibakia hapo.
 
Back
Top Bottom