what is the best mobile phone so far?

run for Nokia,kama wewe unapenda games

Mtu mzima ananunua simu ya gharama kwa sababu ina games!

Mwingine ananunua mu-HTC mkuuubwa wenye ma features and functions za kulazimishwa kama vile lazima ku subscrbe na internet service wakati nyumbani unayo internet!

Falling for ridiculous marketing ploys
 
Wana JF,
Ni simu gani ni the best kulinganisha na zote ziilizopo kwenye market kwa sasa. Kwenye mtandao naona wengi wanaisifia Iphone 4G, lakini pia kuna wanaosema HTC Evo na wengine Blackberry Curve 8520, Samsung Galaxy ...
The best mobile phone kati ya zilizopo sokoni ni ILE UNAYOIPENDA KULIKO ZINGINE.................. KWANI WEWE UNATAKA UWE NA SIMU YENYE UWEZO WA KUFANYA KITU GANI......????
 
Mtu mzima ananunua simu ya gharama kwa sababu ina games!

Mwingine ananunua mu-HTC mkuuubwa wenye ma features and functions za kulazimishwa kama vile lazima ku subscrbe na internet service wakati nyumbani unayo internet!

Falling for ridiculous marketing ploys

Unasahngaa mtu mzima kununua simu kwa sababu ya game............!!!!! Mbona hushangai mtu kununua simu yenye makorokoro kibao halafu hadi anaibiwa hajawahi kuingia kwenye hayo makorokoro....???? Mlio wengi ni SMS/CALLS .................Ni wachache sana wanaoshughurika na MMS achana na mengine.......
 
Ni kweli ulichosema, ubora ama kuipenda simu fulani ni kama unapoamua kununua gari. Kila mtu ana sababu zake za kuipenda simu ya aina fulani. Mfano mimi binafsi when it comes to smart phones nimetumia blackberries, Samsung, Evo, Sony errickson, Motorola Droid na Nokia lakini naizimia kichizi iPhone4. Huniambii chochote kuhusu iPhone4. But that doesn't mean kila mtu aipende iPhone4.
Ila swali moja ambalo watu wengi esp. huku US wanajiuliza: Ni kwa nini Apple wanaintroduce technology mpya then others wao wanaishia ku-copy? Kwa nini wao nao wasije na new product badala ya kungojea Steve Jobs aje na something new then wao ndio waige?
All in all iPhone ime-revolutionize the smart phone technology.

ningeomba na mimi iPhone 4 moja mkuu nitapataje, huko c bei cheap kidogo?
 
One of the area that Apple deserves much credit is on styling of their iPhone 4. They did a complete overhaul of one of the most minimalist designs ever. The iPhone 4 has the right measures of simplicity and sophistication. And it's all meaningful. It's the latest in a line of phones that redefined user-friendliness but it's the next generation too in features and technology compared to the sumsang galaxy all plastic case. The glossy plastic body of the Galaxy S doesn't look quite so nice after a short while - it doesn't take long for it to become a greasy mess
 
Mi bana naikubali sana Nokia 2330 maana iko smple to handle, inasave chaji kwa muda mrefu,
sms unaandika fasta na pia ina net yenye speed ya hatari. Yaani hata nikiwa on my movements
bila laptop huwa nachat kijamii forum zaidi kwa kutumia hii machine ,:cell: :cell: :cell:
 
Sony Ericsson arc na LG optimus x2!

Kwa wale wanaopenda kusurf hizi mbili ni kiboko kwasababu screen ni kubwa ya kutosha..kwa wale wapenda music kama mimi ndo kabisaaaa maana unaweza kudownload hapo hapo kwenye simu...kwa wale waongeaji wazuri na wana watu nje ambapo ni ghali kupiga unaweza kupiga na kupokea simu kwa kupitia Skype....unaweza kuattach picha straight kutoka kwenye simu kwa kutumia email ya gmail....kamera mp8 ila sio nzuri sana kama iliyokua nayo LG arena....then kwa wale wapenda movie unaweza kuangalia movie/sikiliza music kutoka kwenye simu kwa kuunganisha simu yako na tv kwakutumua hdmi cable!!

So hizo mi ndo nazifagilia kwa sasa....
 
Ni kweli ulichosema, ubora ama kuipenda simu fulani ni kama unapoamua kununua gari. Kila mtu ana sababu zake za kuipenda simu ya aina fulani. Mfano mimi binafsi when it comes to smart phones nimetumia blackberries, Samsung Galaxy II, Evo, Sony errickson, Motorola Droid na Nokia lakini naizimia kichizi iPhone4. Huniambii chochote kuhusu iPhone4. But that doesn't mean kila mtu aipende iPhone4.
Ila swali moja ambalo watu wengi esp. huku US wanajiuliza: Ni kwa nini Apple wanaintroduce technology mpya then others wao wanaishia ku-copy? Kwa nini wao nao wasije na new product badala ya kungojea Steve Jobs aje na something new then wao ndio waige?
All in all iPhone ime-revolutionize the smart phone technology.
Thats true
 
ni kweli inategemea na mtu, kwangu mm blackberry ndo simu ya ukweli hasa linapokuja suala la internet na mambo ya ofisini.
 
Inategemea na matumizi yako na preference
kuna baadhi ya watu hata Nokia 3210 ni the best kwao.
Ila when u ask about me Iphone 4 we'll be the best.
 
Back
Top Bottom