what is the best mobile phone so far?

Iphone 3Gs mwisho wa matatizo,kwanza ni ngumu kuliko 4G hii na 4G zimetofautiana kitu kidogo sana speed ya net pamoja na uwezo wa kamera pamoja na taa ya kwenye kamera lakini upande wa OS zinatumia OS moja na kioo cha 3gs ni kigumu na madhubuti sana kuliko cha 4g na ni shock resistance, i like the phone...
 
Hapa bana kitu cha LG GT 540+ au sony erickson experia x 10. Duh!
Lakini nilizimiaga sana bb storm, tatizo ukiupdate ndo inadata na screen inaanza kuwa crap.
 
Naipenda Blackberry yangu!! Siwezi kuishi bila hii! Nafikiri blackberry is da best
 
the best kwa mimi ninavyofahamu kwa sasa ni HTC Trophy running with Windows Phone 7
 
ila xperia ipo slow balaaa labda ui overlock processor yake to 1ghz ndo inakua moto
 
Kwanza wakuu kabla sijarukia kujibu hii thread naomba mnisaidie matumizi ya WHAT na WHICH!! Mbona mimi sielewi elewi vizuri hilo swali kwenye hii thread?
 
Back
Top Bottom