what if..........

halafu kibaya zaidi mkuu mtoto anaweza kuwa ndani ya blanketi ukadhani amelala kumbe anafanya madudu kwenye mobile phone.

Akiwa mtu mwingine hapo mzee mzima ungeshamchimba mikwala mia kidogo, lakini kwakuwa ni we mwenyewe utajifanya kumgeuzia kibao mwanao! Heheh.....najua tu utatunga tunga uongo lol, ila we mushaija na unayoyaongeaga humu lazima kaheshima kapungue aisee!
 
mke mwenza na nani?@asprin? Mmechanganyikiwa nyie,mme gani hata ATM card hana? Halafu hata kibarua chake cha kupiga debe stendi mwenge kafukuzwa na manispaa?
kwi kwi kwi! kwa hiyo mume wetu ni mume suruali? muache hujui tumempendea nini??
 
Childrens who developed a dependecy on Mobile phone , like those who over-used Video games often became irritable.
Withdrawn and antisocial , and their school perfomance deteriorated.
Hata haya mafacebook ndiyo kabisa!
Fcbk effects the way we treat our kids, we might have greater expectation for oldest kids and give them more responsibilities. Kila revolution lazima iache side effects.

Alafu nyie si ndo watongozaji wenyewe au?
 
What if.......
Your own very son happens to find out your jf ID name,get himself registered,say as Eiyer and then starts to trade ballistic malavidavi missiles with you,jamani hivi ukigundua itakuwaje? Mmmmhhhhhh.......
 
What if.......
Your own very son happens to find out your jf ID name,get himself registered,say as Eiyer and then starts to trade ballistic malavidavi missiles with you,jamani hivi ukigundua itakuwaje? Mmmmhhhhhh.......
hapo chacha,halafu muanze kutumiana PM mama na mwana,aisee.
 
kwi kwi kwi! kwa hiyo mume wetu ni mume suruali? muache hujui tumempendea nini??
nina dume langu
kila siku makelele
nikitaka kulilisha
lazima lipige makelele.....
Source:njenje
maneno haya nimemsikia jana BADILI TABIA akitamka saluni.
 
Last edited by a moderator:
Your own very daughter happens to find out your jf ID name,get herself registered,say as Lizzy and then starts to trade ballistic malavidavi missiles with you,jamani hivi ukigundua itakuwaje? Mmmmhhhhhh.......

mh imagine you plan a date with a girl from JF, mnakutana pub and you find out he's your daughter sijui utamwambia unafanya nini hapo wakati umemwambia mama yake hm kua uko kwenye kikao..mh hii mitandao ya siku hizi
 
What if.......
Your best (male) friend happens to find out your jf ID name,get himself registered as a female,say as Lizzy and then starts to trade ballistic malavidavi missiles with you,jamani hivi ukigundua itakuwaje? Mmmmhhhhhh.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom