What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Swali dogo tu lakini majibu kibao. Watu wanazuguka tu hapa! hapa tunataka data kama hizi, mfano "kabla ya mdee hajachukua jimbo kulikua na kero ya maji kwa wananchi na kwa sasa Mdee amewezesha upatikanaji ya maji kwa asilimia hizi, mfano mwingine labda Kawe kulikua na kero ya barabara, Mdee amewezesha kusimamia utekel;ezaji wa miradi kadhaa ya barabara kwa awsilimia kadhaaa, lingine mfano wakazi wa kawe walikiua na kero za viwanja, Mdee mpaka sasa amewewezesha kusimamia na kutekeleza migogoro kadhaaa! na vile vile tukubali kusema mapungufu yake ili tuweze kumsaidi, mfano, kabla ya Mdee kuchukua jimbo kulikua na hali ya amani na utulivu lakini sasa vitendo vya ujambazi vimekithiri!
Hebut tujaribu kujibu hili swala kwa muundo huu! maana mwanzisha thread ameomba mafanikia kwa jimbo la kawe
 
angetusaidia barabara ya makongo juu- (kule ndanindani kwenda kwake) siyo pale chuo cha ardhi angeitengeneza yeye kama yeye "HALIMA MDEE" na sisi tufaidiiii!!!! kupitia mbunge wetu!!!kama waheshimiwa wengine walivyofanya m.f kuelekea kijijini kwa mtoto wa mkulima n.k

Kwani huko Makongo Juu hakuna Diwani, mfuateni Diwani wenu ili atengeneze Barabara hiyo.

Na siyo kila kitu kinashughulikiwa na Mbunge, kama hivyo kuna umuhimu gani wa kuchagua Diwani hapo Makongo Juu??????Barabara hiyo ipo chini ya Manispaa ya Kinondoni, hivyo Diwani ndiye muwakilishi wa wananchi katika Manispaa na siyo Mbunge.

WRONG NUMBER umepiga!!!

TAFAKARI!!!!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Swali dogo tu lakini majibu kibao. Watu wanazuguka tu hapa! hapa tunataka data kama hizi, mfano "kabla ya mdee hajachukua jimbo kulikua na kero ya maji kwa wananchi na kwa sasa Mdee amewezesha upatikanaji ya maji kwa asilimia hizi, mfano mwingine labda Kawe kulikua na kero ya barabara, Mdee amewezesha kusimamia utekel;ezaji wa miradi kadhaa ya barabara kwa awsilimia kadhaaa, lingine mfano wakazi wa kawe walikiua na kero za viwanja, Mdee mpaka sasa amewewezesha kusimamia na kutekeleza migogoro kadhaaa! na vile vile tukubali kusema mapungufu yake ili tuweze kumsaidi, mfano, kabla ya Mdee kuchukua jimbo kulikua na hali ya amani na utulivu lakini sasa vitendo vya ujambazi vimekithiri!
Hebut tujaribu kujibu hili swala kwa muundo huu! maana mwanzisha thread ameomba mafanikia kwa jimbo la kawe

Nilitaka kumwambia maana naishi kunduchi ambalo pia mbunge ni Mdee. Maji/umeme kawe ni vitu ambavyo si tatizo la kuumiza kichwa. Kile kichwa.... Ukitaka kuamini transfoma iharibike halafu tanesco walete longolongo, we mwambie wanamjua. Litabadilishwa siku hiyo hiyo
 
Hivi Dr. Makongoro Mahanga, mbunge wa Segerea ameshafanya nini bungeni kuwawakilisha wananchi wake?

Hivi Mheshimiwa Abas Mtemvu, mbunge wa Temeke ameshafanya nini bungeni/jimboni kwake?

Hivi Mheshimiwa Mwaiposa Eugeni Elishiringa wa Ukonga ameshafanya nini bungeni/jimboni kwake?

Hivi Mheshimiwa Ndugulile Faustine Engelbert mnamjua ni mbunge wa wapi? Mmeshamsikia? Kwa lipi la uwakilishi wa watu wake/watanzania wanyonge?

Basi hawa tuwalinganishe na aliyoyafanya Mh. Mdee ndani ya bunge na Jimboni kwake.

Inaonekana muulizaji alikuwa na interest na jimbo lake, na wengine nao wawaulize wabunge wao, wamewafanyia nini? vinginevyo 2015 tuwamwage.
 
Amefanya mengi mbunge wangu; ila kwa bahati mbaya hajatufikia sisi wanyonge wa Madale, Mbopo, Mabwe Pande kiasi tunanuka na matatizo ya ardhi na usalama. NI MAPUNGUFU MABAYA AMBAYO HAYAELEZEKI KULINGANA NA MATARAJIO NA IMANI TULIYOKUWA NAYO NA KUMCHAGUA
 
Nitajie mambo 3 aliyofanya katika katika jimbo la kawe

Ngoja nikutajie mimi:
1:Amepigania chuo cha IMTU Kilikuwa kinatoza ada kwa dola za marekani sasa kinatoza kwa fedha za TZ, pia ada ya imesshuka na kuwa fixed.
2:barabara ya kutoka millenium tower kupitia njia shule ya chekechea hindu mandal , kupitia hadi jirani na nyumba ya meya wa kinondoni kutokea shoppers plaza ipo ktk hatua ya kuweka lami.
3: daraja la njia shortcut ukitokea rose garden bar kuja jirani na nyumba ya ridhiwani ( kutokea chuo cha school of journalism mikocheni)limejengwa, japo najua wengi wanahisi ni shinikizo la riz1, but remember mh mdee ndiye anakaa vikao vya maamuzi kupitisha.

hiyo ni kwa sisi wa mikocheni, pia mh mara nyingi anakuja kusikiliza kero zetu ,tatizo ktk vikao mkiitwa hamji! nahisi mleta hoja ni mtoto wa rita mlaki nini? maana umejibiwa humu jamvini na mwanaukweli na wengineo ila naona kichwa kigumu.
 
Amefanya mengi tu.Tafuta kipindi kinachoitwa "mimi na Tanzania" kinachorushwa na Channel Ten ya wiki hii wlimhoji kuhusu hayo unayotaka kujua. nadhani kwenye you tube kitapatikana.Wiki ijayo pia wataendelea nae hivyo kaa mkao wa kula
 
Ngoja nikutajie mimi:
1:Amepigania chuo cha IMTU Kilikuwa kinatoza ada kwa dola za marekani sasa kinatoza kwa fedha za TZ, pia ada ya imesshuka na kuwa fixed.
2:barabara ya kutoka millenium tower kupitia njia shule ya chekechea hindu mandal , kupitia hadi jirani na nyumba ya meya wa kinondoni kutokea shoppers plaza ipo ktk hatua ya kuweka lami.
3: daraja la njia shortcut ukitokea rose garden bar kuja jirani na nyumba ya ridhiwani ( kutokea chuo cha school of journalism mikocheni)limejengwa, japo najua wengi wanahisi ni shinikizo la riz1, but remember mh mdee ndiye anakaa vikao vya maamuzi kupitisha.

hiyo ni kwa sisi wa mikocheni, pia mh mara nyingi anakuja kusikiliza kero zetu ,tatizo ktk vikao mkiitwa hamji! nahisi mleta hoja ni mtoto wa rita mlaki nini? maana umejibiwa humu jamvini na mwanaukweli na wengineo ila naona kichwa kigumu.
tunataka watu kama wewe wenye uwezo wa kutetea kwa mifano na sio kuleta ushabiki na matusi.
 
kwaza hujui kuhesabu hivi mheshimiwa kashamaliza miaka mitatu? inaonekana hapa hakuna kisomo kabisa
 
Nilitaka kumwambia maana naishi kunduchi ambalo pia mbunge ni Mdee. Maji/umeme kawe ni vitu ambavyo si tatizo la kuumiza kichwa. Kile kichwa.... Ukitaka kuamini transfoma iharibike halafu tanesco walete longolongo, we mwambie wanamjua. Litabadilishwa siku hiyo hiyo
That said, let us also give a sober look at what president Kikwete has done for Tanzania for the past 7 years.
 
Kuahmisha soko la Tegeta na stendi ya daladalakwenda sehemu sahihi (kutoka pale barabarani)
Kujenga barabara ya kutoka Tegeta Nyuki hadi bahari beach kwa kiwango cha lami
Kujenga Barabara ya Mwenge Ubungo yenye "lane" mbili (ujenzi unaendelea)
Kuhakikisha wote waliovamia viwanja wananyanganywa na vinarudi kwa wamiliki halali
Kufunguliwa kwa shopping mall ya Kisasa eneo la Tegeta
e.t.c
 
hakuna alichofanya zaidi ya kushiriki sherehe nyingi za kitchen party alizoalikwa
 
Jee amefanya hivyo... mara nyingi bungeni mimi huwa naona anatetea mambo mengine.... kwanini asiwe kama Ndesamburo kule Moshi....

Ndesamburo kule ana full council........wewe kwa woga wako ukachagua mbunge wa upinzani diwani wa CCM........ipe Kinondoni full council CHADEMA uone
 
Back
Top Bottom