What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
 
Rest in peace.
 
wewe Charity boy unaleta threads zisizo namsingi.Tunataka mambo kwa evidence.Huyo Mbatia hana ubavu wa kipambana na jopo la mawakili wa CDM.Ndo umeamka nn?
 
sio utabiri, ni hali halis
1) wabunge kuhama chama
2)Wenyeviti wa mikoa kukimbia
3)Migogoro itaongezeka
4)Baadhi ya wabunge kusimamishwa vikaoni kutokana na kutumia jazba
5)DK Slaa atakuwa kimya na kuzidiwa na wapambe wa Chadema.
5)Jf itavamiwa na wanaccm

MS umesema kweli. i support you strongly. CDM sio chama makini. Ubinafsi utakimaliza.

Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.

ukisoma threads na comments mbalimbali za huyu jamaa, utagundua kaegemea upande gani. yeye na Malaria sugu ni moto na petroli. hawaniumizi kichwa tena. nikiona threads zao nazitupilia mbali.
 
wewe Charity boy unaleta threads zisizo namsingi.Tunataka mambo kwa evidence.Huyo Mbatia hana ubavu wa kipambana na jopo la mawakili wa CDM.Ndo umeamka nn?

Hawa ndio wanaotakiwa kwa wingi hapa JF hawa ndio maGreat thinker. ukitaka kufikia mpaka hadhi ya kuwa JF premium member, fuata mwendo huu.
 
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.
Mbatia longolongo nyingi hana ubavu wa kupambana na CCM sasa anataka kupambana na CHADEMA. Si mpinzani alisi. Hana tofauti na Makamba anayeamini kuwa CCM inapendwa sana shida ni Sita na watu fulani wachache.
Mbatia ametudhalilisha wanaumme maana maneno ya mwanamke yamempasua kichwa kuamua kulipa mamilion ya fedha ili kufungua kesi. Ninachoamini ni kuwa Mbatia hata akirudia uchaguzi mara 10 mdee atamgaragaza.
 
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.

Kama iko mahakamani hiyo document yako basi tusubiri mahakama iamue don't try to influence the decision of the court plse!!!!!!!!!!!!
 
ukisoma threads na comments mbalimbali za huyu jamaa, utagundua kaegemea upande gani. yeye na Malaria sugu ni moto na petroli. hawaniumizi kichwa tena. nikiona threads zao nazitupilia mbali.

Avae nimekutwangia thanks kwa kuonyesha kuwa uko makini.
 
This lady was the best among all the contestants and she had a support from many voters
 
You must be having a problem with your mindset.please be long sighted rather than short sighted.Halima Mdee is a symbolic woman of this century,energetic and courageous.if.Mdee is a woman of the people.
 
charity boy, he really like bitching around people, is that for charity? not sure though.... LOL
 
N-handsome hilo neno,Kawe wamesema HM,mabadiliko ndio maendeleo,unapolalamika angalia margin aliyokushindia mwenzako,hicho ndio kipimo kizuri cha mtu mwenye brain kuamua cha kufanya,lakini unapoamua kupiga kelele ili na wewe usikike kama ulikuwepo kwenye kinyang'anyiro haisaidii wana Kawe walisha amua HM yatosha.
 
ukisoma threads na comments mbalimbali za huyu jamaa, utagundua kaegemea upande gani. Yeye na malaria sugu ni moto na petroli. Hawaniumizi kichwa tena. Nikiona threads zao nazitupilia mbali.

ndugu usipoteee bila hao jf haijanoga bado,hao ni chachu ya maendeleo ya jay f.
 
kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema hm yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.

haiwezekani tutaandamana lazima,hawawezi kutumaliza kirahisi namna hiiii
 
hapo mmenena. Uyu jamaa punde tu katoka kusema jk nchi haijamshinda, kapanua demokrasia na upuuzi kibao!sasa kakaa mbele ya keyboard kaamua aandike ujinga wake. Nami sisumbui kichwa,hapa sichangii thread yake,nimechangia kwenye maneno yako!
 
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.

crap
 
Back
Top Bottom