SIGISIBERT
Member
- Nov 21, 2012
- 17
- 1
Tunaona na tunakumbuka mh mdee alivyoachiwa jimbo lilivyokuwa katika migogoro ya ardhi na akatumia nguvu yake ya ziada katika kutatua changamoto hizo ikumbukwe kuwa jimbo la kawe ni moja ya majimbo yaliyokuwa yanaongoza kwa ufisadi wa ardhi lazima mtambue kazi kubwa aliyofanya mbunge wetu katika kutatua tatizo hilo tusiwe watu wa kufuata maneno ya wajinga wachache wenye maslahi binafsi ya kumponda mh mdee