charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Kuna habari kuwa kutokana na document ambayo mlalamikaji jimbo la kawe kuhusu kesi ya ubunge ameiandaa na kuiwasilisha mahakamani namna ilivyoandaliwa, wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema HM yupo kwenye hatihati ya kudondoka. Kuna vipengele vingi vilikikukwa katika kampeni zake.