What does girls need?

Kwa sasa, napenda msichana atakaetambua kuwa tuko Bonde la Mpunga, Dar es salaam, na wala sio Alberqueque, New Mexico, au somewhere in Hollywood.
Kifupi sipendi wadada waigizaji, kucha feki, kope feki, nywele feki, maisha feki, c'moon, mpaka feelings feki?

Yaaaap
 
we mphamvu wengi waspofanya hvyo huwa wabaya sa utampenda kwel!!??
 
Ngoja niwaibie siri girls from guys and vice versa "A man is in half way to any girl who LISTENS to him" and a girl is wholly in love with any guy who ATTENDS her at a time need
 
afu wewe nikkikukamata, utanieleza kwa nini utamu wa ndizi unapatikana baada ya kuivua nguo!
Unataka nikuloge??

attachment.php
 
Back
Top Bottom