Mtanga Tc
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 235
- 84
Hongera sana!!! Wala usikatishwe tamaa bali kumbuka safari ya hatua elfu huanza na hatua moja...That is a great start...Ninakwambia haya kwa kuzingatia kwamba hata mimi nina MIAKA 10 ya ndoa na "still going on strong as if we've just started!!!"Kuna watabiri wa mambo walitabiri ujio wa watoto au maendeleo utaleta some challenges,however we have gone through all the ups and downs of this modern life pasipo kuchakaa kimahusiano......Yote ni maamuzi ya nyinyi wawili.Kwani watu wanaoana ili kuja kuachana??? When I said till death do us party...I was deadly serious no matter what!! Mimi ninakupongeza sana na kwa jinsi unavyofurahika.. You really mean a business! Big Up!