Wewe ni mvulana wangu wa pili

Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

we umewafunua wangap?
ili nao wajisifu wamepata mwanaume asiyefunua vyungu ving?
 
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

hawawezi kukwambia idadi bana, kwanza nina wasiwasi hata hao wavulana aliopita nao hawezi kumbuka hata sura zao achilia mbali idadi!!!!!inataka moyo bana
 
mmmhhhhh, hii kiboko, idhani kama anakumbuka...hata m mwenyewe niliyebarehe mwaka jui sikumbuki nimeshachovya wangapi....
gud.
bas msiwe mnauliza maswali yenye kariba ya dharau na kujitia presha
mmekubaliana bas nyie funuanen habar za nani kapita apa zinahuuu?
ebu token zenu uko wakat nyie km msururu bas wakijipanga ni kutoka ubungo mpaka segera!
 
hawawezi kukwambia idadi bana, kwanza nina wasiwasi hata hao wavulana aliopita nao hawezi kumbuka hata sura zao achilia mbali idadi!!!!!inataka moyo bana

Idadi utadanganywa tu ni kweli kabisa. Ukiambiwa 2 jumlisha na wako uwatakao. Kwanza unauliza ili iweje?? Unataka nini hasa huko zaidi ya BP??
 
Hii comment ni yako au kuna mtu kachakachua password yako Rev???

nadhani Rev hapo yupo sahihi kabisa, kwani watumiaji wa hiyo ndogo hawana presha hata kidogo!idadi ya watu wapitao njia hiyo ni wachache sasa presha ya nini?
 
Wewe lazima unatumia hiyo line! bravo
 
Kuanzia nimebalehe, kila msichana nikimuuliza mimi ni bwana wako wa ngapi, utasikia we ni bwana wangu wa pili... akizidi sana utasikia wa nne.
je mimi nina bahati gani ya kuwa napata wanawake ambao hawajatumika sana?
Acheni wizi wanawake

Wewe hilo swali unapowauliza jibu lake huwa unataka likusaidie nini?
 
Back
Top Bottom