wewe ni msichana miaka 24-27? UNAHITAJI KUOLEWA MWAKA HUU?ELIMU F4 NAKUENDELEA

Silanda

Member
Jan 8, 2011
9
0
Kama wewe ni msichana wa umri tajwa hapo juu tuwasiliane kama unataka kuolewa mwaka huu lakini uwe mwenyeji wasingida au tabora kabisa,uwe tayari kupima,uwe tayari kutumia muda wako kujua ukweli wa mahusiano yetu na mambo mengine kama haya.uwe mrembo ili watoto wetu wasije wakachelewa kuolewa,mrefu,hujatumika sana kiasi kwamba kifuani hamna kitu,hujawahi kuzaa,uwe na akaunt facebook. tuwasiliane kwa face book andika isai utanipata. naomba uwe na mvuto jamani wadada
 
Minaishi tabora sehemu inaitwa Usule tuwasiliane...miaka yngu 19 na nna mtoto.
 
Kama wewe ni msichana wa umri tajwa hapo juu tuwasiliane kama unataka kuolewa mwaka huu lakini uwe mwenyeji wasingida au tabora kabisa,uwe tayari kupima,uwe tayari kutumia muda wako kujua ukweli wa mahusiano yetu na mambo mengine kama haya.uwe mrembo ili watoto wetu wasije wakachelewa kuolewa,mrefu,hujatumika sana kiasi kwamba kifuani hamna kitu,hujawahi kuzaa,uwe na akaunt facebook. tuwasiliane kwa face book andika isai utanipata. naomba uwe na mvuto jamani wadada

Mwaga sifa zako na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom