Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

teh teh teh. unanitega? kuna namna unaweza tell ubovu wangu kwa njia ya jamvi?

Diagnosing the problem kwanza ni njia bora ya kutatua tatizo.
Siwezi tell ubovu wako bila ya either wewe kuniambia au mie kutest.

Mi nilijua wewe great thinker umeingia huku leo hii
Basi ndio tutapona, utatueleza Dos and Donts zote
Wapi Bwa'Nchuchu? yeye alisema ni mtaalam hapa.

Haya mabo hayana u-great thinker
 
Kila mmoja wa wana MMU akiulizwa hapa kiwango chake kipo vipi katika sex atasema yupo fit.
Kinabaki kimshangao kimening'ang'ania kikiniuliza ndani ya nafsi yangu hao waliopo uraianai
wanalalamika hawaridhishwi na wapenzi wao sio members wa jf? Au sababu hakuna kipimo cha kupima kama kile cha kupimia level ya pombe uliokunywa kijulikanacho kama breathalyzer? Kikiletwa kipimo cha kupima kiwango chako cha sex kwa kipimo cha sexkiwangolyzer nani atasogea hapo kupima? Amka baba, Amka mama.
Acha kujidanganya na kutudanganya na jitazame upya ukute wewe ni mbovu. Hio hasa kwa wanaume.
Tujipime na kujijua wajameni ili tukaze bolt sehemu zilizolegea! BTW mimi nipo fit! Nalijua hilo
nisha dhibitisha na kipimo cha sexkiwangolyzer ambacho bado hakijang'amuliwa teh teh teh.

Mwaaaah.

mimi ndio bogas kabisa kwenye kitengo hicho......
naomba unipe maujuzi ili nisivunje ndoa yangu mpendwa Erotica

Last edited by a moderator:
mimi ndio bogas kabisa kwenye kitengo hicho......
naomba unipe maujuzi ili nisivunje ndoa yangu mpendwa Erotica

Haya sasa... mi nimeona mchango wa Preta nikaja fasta
Kumbe nae kaja kusoma. Hivi hakuna kabisa wa kuendesha darasa?
Kuna mtu kanionea Lucky_c_pesa? alikua na class yake nzuri tu...
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini kua hakuna alie sio mtamu kote. ni bahati ya kupata ambae
mki du mnapagawishana hasa! ingawa kua exceptions kama hizo alizoongelea Kaunga kua dada umezaliwa hivo. Kama ni moneymonger mbona
unaenda kozi kabisa kuboresha idara teh teh.

Asikudanganye mtu, kuna watu wengine ni mimaji tu tena wale wenye ma**ko makubwa ila sasa kama ni maji akiwa mtundu wa kitandani hata eni ataelekezea huko ili ipakaushe na kuibana misuli kimtindo haja itimie ila kama ni zoba ndo kasheshe utaambulia kwenda kuoga na kuanika godoro.
 
Diagnosing the problem kwanza ni njia bora ya kutatua tatizo.
Siwezi tell ubovu wako bila ya either wewe kuniambia au mie kutest.
Haya mabo hayana u-great thinker

So unlike EMT. Defensive. Ok basi naomba utest,
 
Haya sasa... mi nimeona mchango wa Preta nikaja fasta
Kumbe nae kaja kusoma. Hivi hakuna kabisa wa kuendesha darasa?
Kuna mtu kanionea Lucky_c_pesa? alikua na class yake nzuri tu...

Mwee...mwenzio hapa miguu nimeweka mfukoni.....
ina maana wewe Mwali hujui haya maufundi ukanijuza.....nasikio huko Ushongo watu ni wataalam sana.....
 
Last edited by a moderator:
mimi ndio bogas kabisa kwenye kitengo hicho......
naomba unipe maujuzi ili nisivunje ndoa yangu mpendwa Erotica
Preta tatizo ndio lipo hapo. najua wote tuna tuchembe twa ujuzi,
tukichanganya vyoote tutakua na maujuizi ya kutosha. ndio niko
kubembeleza wadau wafunguke. mimi na wewe tubanane hapa hapa tupate jibu shosti.
 
Last edited by a moderator:
mimi ndio bogas kabisa kwenye kitengo hicho......
naomba unipe maujuzi ili nisivunje ndoa yangu mpendwa Erotica

preta atleast umesema ukweli, haya mambo ni kuuliza vinginevyo utashangaa chumbani unajibiwa hakuna mudi, halafu unakuta hata wewe kuitafuta network hujui. kila siku unasubiri kuanzwa tu, kuitafuta huwezi inakuja kweli...........lol

Asikudanganye mtu, kuna watu wengine ni mimaji tu tena wale wenye ma**ko makubwa ila sasa kama ni maji akiwa mtundu wa kitandani hata eni ataelekezea huko ili ipakaushe na kuibana misuli kimtindo haja itimie ila kama ni zoba ndo kasheshe utaambulia kwenda kuoga na kuanika godoro.

Hizi ndio tips natafuta! sante gfsonwin. kwa hio unasema wanawake
wenye ****** makubwa wote wana mimaji? hio mimaji ijulikane ni mengi mwanamke atajijua vipi?
 
Last edited by a moderator:
Preta tatizo ndio lipo hapo. najua wote tuna tuchembe twa ujuzi,
tukichanganya vyoote tutakua na maujuizi ya kutosha. ndio niko
kubembeleza wadau wafunguke. mimi na wewe tubanane hapa hapa tupate jibu shosti.

Nyie hamjafundwa au hamjachezwa ngoma au mna miili mikubwa mnashindwa kujigeuza?
 
Last edited by a moderator:
Kila mmoja wa wana MMU akiulizwa hapa kiwango chake kipo vipi katika sex atasema yupo fit.
Kinabaki kimshangao kimening'ang'ania kikiniuliza ndani ya nafsi yangu hao waliopo uraianai
wanalalamika hawaridhishwi na wapenzi wao sio members wa jf? Au sababu hakuna kipimo cha kupima kama kile cha kupimia level ya pombe uliokunywa kijulikanacho kama breathalyzer? Kikiletwa kipimo cha kupima kiwango chako cha sex kwa kipimo cha sexkiwangolyzer nani atasogea hapo kupima? Amka baba, Amka mama.
Acha kujidanganya na kutudanganya na jitazame upya ukute wewe ni mbovu. Hio hasa kwa wanaume.
Tujipime na kujijua wajameni ili tukaze bolt sehemu zilizolegea! BTW mimi nipo fit! Nalijua hilo
nisha dhibitisha na kipimo cha sexkiwangolyzer ambacho bado hakijang'amuliwa teh teh teh.

Mwaaaah.

ila ukweli ni kwamba tafiti zinaonyesha wanawake 40% tu ndio wanaofurahia tendo la ndoa, wengine 60% hawafurahii na hi huwa wanasociolojia ya mambo ya ndoa wanasema wamebakwa.kwa tafiti hizi wanawake wengi walioko kwenye mahusiano wanabakwa. swali je n kwamba wenzi wao hawajui? au ni kwamba wao hawajui? au pia waote wawili hawajui?

hapa jibu ni gumu lakini mtaalam mmoja wa mambo ya ndoa alisema ukitaka wewe ke kufurahia hii kitu basi inabidi uisaidie mwenyewe. sikukuelewa kwa haraka lakin ukiangalia haya mapicha ya ngono utaona jinsi ke wanavyojisaidia. sasa hapa bongo fanya hivyo na mpenzio chumbani uone akitoka utakuta kaumwaga jamvini anaomba ushauri juu ya kilichotokea.
 
Nyie hamjafundwa au hamjachezwa ngoma au mna miili mikubwa mnashindwa kujigeuza?

Kwa hio waliofundwa wote hua hawanenepi in the long run?
au hata kama amefundwa akinenepa ujuzi unakonda?
Unaposema kujigeuza una maana Tgo au tu kugeuka wakati wa kungonoka? Nitonye tafadhali.
 
So unlike EMT. Defensive. Ok basi naomba utest,

Nitest wapi sasa. Anyway, lets go down to business. Hizi ni baadhi ya myths ambazo zimesambaa kwenye vichwa vya watu wengi. Do you believe in any of them? Ikiwexekana tuanze kujadili moja moja. lol

MYTH – The only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else. Anything else isn't really sex
MYTH – Having sex on your own isn't really sex
MYTH – Sex should always involve an orgasm
MYTH – If one person orgasms that has to be the end of sex
MYTH – Sex should always start with lots of foreplay
MYTH – Foreplay is for kids
MYTH – Men need an erection in order to have sex
MYTH – Sex is about putting on a good performance, not about enjoying yourself
MYTH – Men should take control of sex, they should be the ones who initiate it and determine what is done
MYTH – Men are always ready for sex
MYTH – Men always want sex
MYTH – Women rarely want sex
MYTH – Women need to be convinced to have sex
MYTH – People shouldn't need any extra lubrication in order to have sex except that produced by their bodies
MYTH – Men should be able to last all night
MYTH – Women should have sex with their partner otherwise they will lose them
MYTH – All kissing and touching should lead to sex
MYTH – It is bad to have sex on your own too much
MYTH – You should never have sex on your own if you have a partner
MYTH – If you fantasize about someone else you're not happy with your partner
MYTH – If you have had sex with someone once you have to do it again
MYTH – If you have had one kind of sex it isn't okay to say you don't want to do that any more
 
Hizi ndio tips natafuta! sante gfsonwin. kwa hio unasema wanawake
wenye ****** makubwa wote wana mimaji? hio mimaji ijulikane ni mengi mwanamke atajijua vipi?

hii mimaji utaijua tu erotica wala haina shida. utaona kila mara chupi inaloana, pasi sababu ya msingi hasa wale wenye ma******na hii husababishwa na hormones nyingi kwasababu pia ya ukubwa wa mwili.Ndio maana hata wenzetu huwa wanajitahd sana kauapunguza miili lakin sisi unene na mitako mikubwa ndio uzur lol
 
ila ukweli ni kwamba tafiti zinaonyesha wanawake 40% tu ndio wanaofurahia tendo la ndoa, wengine 60% hawafurahii na hi huwa wanasociolojia ya mambo ya ndoa wanasema wamebakwa.kwa tafiti hizi wanawake wengi walioko kwenye mahusiano wanabakwa. swali je n kwamba wenzi wao hawajui? au ni kwamba wao hawajui? au pia waote wawili hawajui?

ni kweli, ila ukibahatika ukawa kati ya wachache wenye kufurahia ni bahati kubwa.
hayo maswali yako mimi naona kama wote mwanamke na mwanaume wa kulaumiwa. it takes two to tango,
 
Back
Top Bottom