Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Tena naona Mwali kawa mpaka kama pazia la leba.

Mtoto ana maneno huyu, hebu mfunde asije mwambia mmewe ana sumu koko bure.

Mwali mbon mpana sana, manake sifa ya mwali ni upole, wewe mwenzangu sijamaliza kupost ushanijibu? nmekukubali ila Erotica kiboko,.........................
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna utamu wa asili ambao wapo walioumbwa nao (maumbile yao); hao hata wasiposhughulika sana; bado wenzi wao huwasifia.

Of course na ufundi pia upo. So lucky is the one anayekutana na mwenye combination zote 2!

Mmmh dada itabidi tuwaombe MODs kuwe na pazia ili mtu na kaka wasionane jamvini wakati mwingine.Mmmh sasa sijui niulize............au basi tutaulizana nyumba wakati tunaota moto na kuchoma mahindi
 
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya sex ndio determinant ya performance ya mtu kwenye sehemu nyingine za maisha yake. Kama mtu ha-enjoy good sex, kama mtu ana matatizo ya sex, kama mtu haridhiki au hamridhishi mwenzake kimapenzi, lazima inaadhiri shughuli zake nyingine whether za kisiasa, kiuchumi na hata kijamii. Huo ni ukweli ulio wazi.

Tatizo tulilo nalo hapa nchini ni kwamba hatu-address social problems ambazo ndizo zinasababisha matatizo mengine. Sex is seen as a taboo. Kwamba sio vizuri kuongelea sex. Lakini karibu robo tatu yetu tumekuwa na matatizo ya sex at one point in time.

Kama kwako mijadala ya maana ni siasa, tumekuwa tukijadili siasa hapa long time lakini umeona mabadiliko yoyote kwenye fani ya siasa? Nope. After all maisha ya binadamu ni zaidi ya siasa.

Kama wewe unaona sex is not that so important to you then utakuwa una tatizo la kibinadamu.
Erotica endelea. Mie nachukua notes.

EMT need i say more? yaani umepiga mule mule. alafu sote tufundishane papito,
mie mwenyewe nakusanya maujuzi hapa kuna secta nipo mbovu kweli kweli. teh teh
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ila kuna utamu wa asili ambao wapo walioumbwa nao (maumbile yao); hao hata wasiposhughulika sana; bado wenzi wao huwasifia.

Of course na ufundi pia upo. So lucky is the one anayekutana na mwenye combination zote 2!

hapo ndio darasa linatakiwa Kaunga. Utamu wa asili vigezo vyake vipo vipi?
mtu anajuaje ana utamu wa asili? Indeed huyo yupo lucky. hop asiwe mzuri si fair kabisa! teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
KIKUNGU
Tufanye sijaona comment yako!
Halafu l know my Miranda (right to remain..........) Lol
 
Last edited by a moderator:
Duh! Sexkiwangolyzer... Very interesting Erotica kama unaweza mudu kuunda misamiati ya ngono. Hope wewe ni mzuri katika hili, wanaokupinga kuzungumzia sex, they're just hiding from their own shadow! Sex for every abled man ana woman
 
na mimi nilielewa hivyo but nimetoa kama angalizo manake wapo ambao ufanisi wao pengine umeharibiwa na sifa, kuna stail ya miguno na mihemko ambayo hutolewa kwa nia ya kuonyesha kuridhika na kumtia hamasa mwenza wako kumbe ukiinogesha zaid anashindwa kuendelea manake jamaa atamwaga kojo na kutoka. ndo maana hii miguno inabidi iwe kwa mtu anayejua pa kuiweka.

teh teh teh. kuna porn nimewahi angalia dada anapiga kelele utadhani mbwa anapigwa!
sion kama ina mzuka wowote zaidi ya shooo.
 
hapo ndio darasa linatakiwa Kaunga. Utamu wa asili vigezo vyake vipo vipi?
mtu anajuaje ana utamu wa asili? Indeed huyo yupo lucky. hop asiwe mzuri si fair kabisa! teh teh teh

Jamani uzuri wa nyama si kwa muonjanji? Tutahamishwa tukienda deep zaidi!
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. kuna porn nimewahi angalia dada anapiga kelele utadhani mbwa anapigwa!
sion kama ina mzuka wowote zaidi ya shooo.

unajua kuna watu wanajua kuzuga sana, hasa wale ambao ni moneymonger. la kuna watu ni watamu sana yaani akikupa mambo au wewe dada ukimpa mambo lazima uchanganyikiwe.na hili haliko kwenye shepu wala fedha ila utundu tu na maumbile ya ndani.yaani kama kuna mnato mzuri lazima mkaka apagawe kwa utam...........jamani nisiende mbali sana
 
EMT need i say more? yaani umepiga mule mule. alafu sote tufundishane papito,
mie mwenyewe nakusanya maujuzi hapa kuna secta nipo mbovu kweli kweli. teh teh

Hehe he he. Nakuwambia hata mwalimu nae sio perfect.
Hope Mwali will do the needful.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Sexkiwangolyzer... Very interesting Erotica kama unaweza mudu kuunda misamiati ya ngono. Hope wewe ni mzuri katika hili, wanaokupinga kuzungumzia sex, they're just hiding from their own shadow! Sex for every abled man ana woman

Amen to this post. umependa msamiati eeh? teh teh. kiwango changu
nishaeleza mbona! hicho kifaa kishadhibitisha.
 
Hehe he he. Nakuwambia hata mwalimu nae sio perfect.
Hope Mwali will do the needful.
Mi mwenyewe mwanafunzi humu ndani, nataka kujua.
Namfata Erotica popote alipo with my pen and paper
Hivi kuna mtu kanionea Neema? I really miss her...
 
Last edited by a moderator:
Come on EMT, hujawahi bahatika kukutana na mwenye combination?

Lakini the fact kuwa mtu ameumbika naturally haina maana kwamba asijifunze maujuzi.
Ulishawahi kusikia dhana (whether true or not) kuwa wanawake wazuri sio watu wa maujuzi kwenye sita kwa sita?
Kwamba wanachukulia uzuri wao kama tosha kabisa kumridhishwa mwenziwe.
Lakini yule ambae sio mzuri, anatambua hilo na kumprove sehemu nyingine kama personality yake, etc.
 
Kati ya mambo yooote yaliyopo duniani, sex ndio mazungumzo yenu. Hivi kuwa member wa JF hadi kiwango changu cha sex kijulikane na wewe?

Haya ukishajua ndio inakuwa nini?

Kama mnauza semeni kwa kunyoosha maongezi. Siku moja moja jadilini mambo ya maana. Akili mmeziweka kwenye sehemu za uzazi basi saa zooote mijadala ni namna gani sehemu za siri za mwanaume zitawatosha, Loh!

sasa kwenye jukwaa kama hili ulitaka tuongelee chadema ama?...mtu kama umri umeshakuacha si utoke humu kimyakimya...acha watu wajadili kwani si yanatokea kwenye jamii...
 
unajua kuna watu wanajua kuzuga sana, hasa wale ambao ni moneymonger. la kuna watu ni watamu sana yaani akikupa mambo au wewe dada ukimpa mambo lazima uchanganyikiwe.na hili haliko kwenye shepu wala fedha ila utundu tu na maumbile ya ndani.yaani kama kuna mnato mzuri lazima mkaka apagawe kwa utam...........jamani nisiende mbali sana

Mimi naamini kua hakuna alie sio mtamu kote. ni bahati ya kupata ambae
mki du mnapagawishana hasa! ingawa kua exceptions kama hizo alizoongelea Kaunga kua dada umezaliwa hivo. Kama ni moneymonger mbona
unaenda kozi kabisa kuboresha idara teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Hehe he he. Nakuwambia hata mwalimu nae sio perfect.
Hope Mwali will do the needful.

Huku ndio kunikwepa kiinteligensia. nataka input based on hetero means.
yeye kama mwanamke mwenzangu tutaishia kwenye homo means au ikiwa
hetero haitabobea. So unanipa ama hunipi?
 
Back
Top Bottom