Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Kila mmoja ana uhuru wa kutoa mawazo yake, na humu kuna majukwaa tofauti tofauti ukiingia MMU maana yake mapenzi na mahusiano na urafiki, ukitaka siasa, ukitaka elimu, ukitaka mapishi n.k
Hayo unayoyataka wewe yatafute kwenye jukwaa husika, tuachie MMU yetu tujinafasi, Usiwafunge watu LUKU.

Tony Almeda sina la kuongeza.
 
Last edited by a moderator:
Kaka mbona unapost kwa uchungu sana? Kimekuuma?

Kumbe wanaume unawajua eeh?! Umejuaje ni kaka?

Leo unanisingizia uchungu, kesho utasema naongea kama niko kwenye ....od. Maana ndio maongezi mnayoyamudu. Ingekuwa amri yangu jukwaa hili ningelibadilisha jina, ningeliita Jukwaa la Wanaofikiri kwa Via vya Uzazi.
 
we kweli mwana mtoka pabaya... hapa si jukwaa la mahusiano..!! mahusiano yatashamirishwa na nini kama sio pamoja na sex. majukwaa yanaongelea mengine yako kibao humu JF, wewe wafuata nini huku kunako SEX kama unaona hapakufai?

Kati ya mambo yooote yaliyopo duniani, sex ndio mazungumzo yenu. Hivi kuwa member wa JF hadi kiwango changu cha sex kijulikane na wewe?

Haya ukishajua ndio inakuwa nini?

Kama mnauza semeni kwa kunyoosha maongezi. Siku moja moja jadilini mambo ya maana. Akili mmeziweka kwenye sehemu za uzazi basi saa zooote mijadala ni namna gani sehemu za siri za mwanaume zitawatosha, Loh!
 
Wakiwa wabishi au wavivu kukusifia, unajisifu mwenyewe! LOL

Kaunga ndio uzuri upo hapo. ukikutana na mmoja hajakusifia utasema ni mbishi ama mvivu.
ila ukakutana na watano hawajakusifu; inapaswa ujitazame kabla ya kujisifu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wanaume unawajua eeh?! Umejuaje ni kaka?
Chances zilikua fifty fifty. Ungependa nikuite dada?

Leo unanisingizia uchungu, kesho utasema naongea kama niko kwenye ....od. Maana ndio maongezi mnayoyamudu. Ingekuwa amri yangu jukwaa hili ningelibadilisha jina, ningeliita Jukwaa la Wanaofikiri kwa Via vya Uzazi.
Kaka mbona unaongea kama uko kwenye period?
 
we kweli mwana mtoka pabaya... hapa si jukwaa la mahusiano..!! mahusiano yatashamirishwa na nini kama sio pamoja na sex. majukwaa yanaongelea mengine yako kibao humu JF, wewe wafuata nini huku kunako SEX kama unaona hapakufai?

Sal sio kosa lake. nahisi ana tension tokana na ukosefu wa sex.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Sal
Kaunga ndio uzuri upo hapo. ukikutana na mmoja hajakusifia utasema ni mbishi ama mvivu.
ila ukakutana na watano hawajakusifu; inapaswa ujitazame kabla ya kujisifu.

Jamani kama mwenyewe nimeenjoy si inatosha kujisifia! Kwani tunamake love ili iweje?

Na ukisifiwa na wote, halafu mwenyewe huoni utamu wake je?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom