Wenyeji wa UKEREWE-MWANZA naomba msaada wenu

Status
Not open for further replies.

Patflax jr

Member
Apr 11, 2011
72
1
Wakuu, kwanza napenda nimshkuru Allah kwa kunijalia kupata Ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko Ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye Visiwa vya Ukerewe mwanza. lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. naomba kuwasilisha
 
heee....kama unamfahamu mamba...basi uwe na nidham...usije ukajitia Akida nayaweza....mbona utajibeba....
 
heee....kama unamfahamu mamba...basi uwe na nidham...usije ukajitia Akida nayaweza....mbona utajibeba....

Ungemwambia kwa mkato tu kuwa aache wosia kwa waifu akiondoka. Dah! hapa kuna dalili ya kumpoteza memba mwengine wa JF karibuni.
Mwenyewe nilikoswa koswa huko ukerewe
 
Ukerewe sio kubaya kivile mkuu, ila kikubwa usafiri wa majini utakuwa sehemu ya maisha yako kama utapenda kuja Mwanza kutembea kwani sio mbali sana. Ila mazingira ya tanzania nadhani wewe si mgeni usitegemee unayoyaona dsm ama kwenye miji mingine mikubwa kwenda kuyaona huko, ila mwanzo mgumu take Courage kuwa na mipango tu unapatumia kusoma ramani zingine, ni sehemu ya changamoto kwenye maisha.
 
Nitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda I WILL NEVA GIV UP TILL I SUCCESSED IN MA LYF. Na bado mahudhurio jf hayatakatika
 
Nitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda I WILL NEVA GIV UP TILL I SUCCESSED IN MA LYF. Na bado mahudhurio jf hayatakatika
Jamani mimi nipo Ukerewe, msimtishe mwenzenu. Patflax hongera na karibu sana ukerewe. Kwanza unaenda ukerewe ya wapi? I mean umepangiwa kazi wapi? nijulishe ili tuone namna gani tutakukaribisha. Karibu sana ndugu mwenyeji nipo
 
Bila shaka wewe ni mwalimu. Hongera sana ndugu. Wasikutishe, kama uchawi upo hata Dar. Cha msingi ni kuwa muadilifi katika kazi na maisha ya kawaida. Kila la kheri
 
mimi ni mkerewe, Pako powah sana, asikudanganye mtu. mpaka kufikia mwaka 2005 ukerewe kulikua na maprofessa 56 sijuw ths tyme wamefika wangapi, kama niwachawi basi ata mmoja asingefika hapo. then kuna opportunity nyingi sana, tafuta idea thn kaanzishe business kwani watu wa kule wajafunguka macho,, ukisema utegemee salary ata ungepangwa Dar chamoto ungekiona. all the best ndugu.......!!!
 
wakuu, kwanza napenda nimshkuru allah kwa kunijalia kupata ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye visiwa vya ukerewe mwanza. Lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. Naomba kuwasilisha

ukerewe safi sana, unakula samaki kila aina, tena kwa bei nzuri, cha msingi usipende dogodogo, wacha maringo ishi na watu vizuri. Ukijifanya unajua, mamba anakuja kukuchukua mchana kweupe unapotea kihivyo
 
Maringo hayakubaliki sehemu yoyote ile duniani
 
Ukifika halmashauri waambie wakupangie shule ya bukongo ndo ipo town na nzuri kwa sababu inakupa mda mzuri wa kufanya mambo yako.
 
Jamani mimi nipo Ukerewe, msimtishe mwenzenu. Patflax hongera na karibu sana ukerewe. Kwanza unaenda ukerewe ya wapi? I mean umepangiwa kazi wapi? nijulishe ili tuone namna gani tutakukaribisha. Karibu sana ndugu mwenyeji nipo

mkuu sina ufaham zaid kuwa ntafika sehem gan ya ukerewe coz hzi post zinaonesh kuwa ni halmashaur ya Ukerewe mkoa wa mwanza.
 
Ukerewe si mbali ya Mwanza na ni pazuri, mimi nipo Mwanza na karibu saana. Si unajua Mwanza ni jiji, hivyo mahitaji yako mengi utayapatia hapa.
 
ukerewe safi sana, unakula samaki kila aina, tena kwa bei nzuri, cha msingi usipende dogodogo, wacha maringo ishi na watu vizuri. Ukijifanya unajua, mamba anakuja kukuchukua mchana kweupe unapotea kihivyo

si unaona kila mtu anajua hiyo.....nimesema mimi.......we shauri yako.....usiseme Preta hakunionya.....
 
Panaitwa UK kwa sababu wanapalinganisha na united kingdom kwa uzuri. Vilevile panaitwa the zanzibar of Lake zone kwa kupalinganisha na zanzibar. kwa ujumla ni pazuri. kuna opportunity za kufanya biashara, na utakula samaki mpaka uwakinai
 
Mkuu! Ukerewe ni wilaya ya kawaida sana tofauti na unavyotishwa au kusikia, mahitaji ya msingi yanapatikana kama ilivyo wilaya nyingine! Bei ya vyakula ni nzuri coz wao ni wakulima wazuri pia bidhaa nyingine za viwandani kama sukari, mafuta etc, zinapatikana japo bei inazidi unapoingia ndani zaidi. Ukerewe uchawi ulikuwepo na upo na nadhani hautaisha leo wala kesho! Mkuu kumbuka hakuna wilaya isiyokuwa na uchawi, ni wewe tu na imani yako! Kama ulitaka kazi, kapige kazi. Mkuu "dume la mende haliogopi mlima wa mavi" nenda mkuu.
 
Mdau hata mie shemeji yangu amepangwa huko huko, ila cha msingi n wewe kuzngatia n kipi ulchokifuata, suala la uchawi lipo,tena kubwa tu...so uwe makini na raia utakawakuta.

Nb: wadau mi n new member, jaman nisaidie if i want to start my thread nafanyaje??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom