Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
...wadau,
Kama kuna mwenyeji/mtu mwenye uelewa wa Tanga mjini, naomba anijuze sehemu nzuri na salama (kwa malazi) ambapo wageni wangu wanaweza kufikia.
Itafaa iwapo hiyo sehemu itakuwa na mgahawa (i.e Bed & Breakfast), Parking, vyumba vyenye feni/AC, TV nk...
Bajeti; ....'tuanzie' chumba cha 35,000/= kwa usiku mmoja kupanda juu...