Wenye uwezo wa kufundisha, njoni tuchape kazi

Feb 11, 2011
71
6
Asalaaaam wanaJF, ninafanya project yangu ya kurekodi vipindi vya masomo kwa ajili ya kufundishia kwa njia ya mtandao, hivyo basi nahitaji watu wenye uwezo mzuri wa kufundisha, wenye uelewa mpana wa kufundisha na wenye uwezo mzuri wa kujieleza kwa ufasaha. Masomo yote ya sekondari na shule ya msingi na pia nawakaribisha wanaojua kufundisha lugha kama kifaransa, kingereza n.k. Karibuni tufanye majadiliano.
 
Nina uwezo mana kwa sasa nafundisha islamic seminary iliyopo kibaha ila masomo ya biasharA tuu
 
Back
Top Bottom