mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 754
- 272
Mwalimu aliye vizuri kufundisha masomo ya english na computer na kumfanya mtu aelewe vizuri anahitajika muhitaji ni mtu mzima yupo dar hivyo aliyetayari ani pm kwa maelezo zaidi
Nipo mwanza mkuu ninahizo Qualifications...kam umehitimu mwaka jana na uko mwanza tuwasiliane
It is possible aise. Mi mwl pia wa engl / swahil ni nkianza kazi 2011 nimekua nkifundisha hayo masomo but nkahamia advanced hapakua mwl wa gs nikaanza kufundisha Gs tangu 2013 mwaka 2016 nimehamia o-level tena sasa nafundisha engl na civics . So now hata nikiomba kazi basi nna uwezo kufundisha vizur kabisa engl,kiswa,civics na gs.Unadanya three subject
Wa a level au?Nahitaji mwalimu wa Physics, chemistry na biology... Npo dar
Mkuu wapi ulisomea kufundisha masomo ya Civics na GS au unafundisha unaojua tuIt is possible aise. Mi mwl pia wa engl / swahil ni nkianza kazi 2011 nimekua nkifundisha hayo masomo but nkahamia advanced hapakua mwl wa gs nikaanza kufundisha Gs tangu 2013 mwaka 2016 nimehamia o-level tena sasa nafundisha engl na civics . So now hata nikiomba kazi basi nna uwezo kufundisha vizur kabisa engl,kiswa,civics na gs.