Wenye Mavogue wote sasa waangaliwe Tax paying records

Kumekuwa na tabia nyingi za watu.kujinasibu.kwenye mitandao ya.kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari,magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.

Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.

Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi
Wivu wa kike huu. Tafuta pesa acha majungu.
 
Umasikini kitu kibaya sana daah!! Sasa wewe kwa akili yako unaona hizo vogue ndiyo gari za gharama sana.

Kwa taarifa yako hizi vogue used, zimejaa Shamshuipo Hong Kong kwenye yards zao bei rahisi tu mpaka dola 10 unapata vogue.

Inaonena una wivi sana wa kike kwani ukimiliki duka la nguo Sinza kama unavyoponda uwezi kununa gari ya dola 10, au dol 7000.
Gari la dola 10? Au unazungumzia vile vigari ya watoto vya kuchezea?
 
Nifahamishe Marekani ipi wanauza Vogue $ 4500?

Sijui kama umeishawahi kufanya biashara mpaka unashangaa mwenye duka la nguo kumiliki vogue used.

Nakupa hesabu kiduchu mwenye duka akiwa na mauzo ya laki 5 kwa siku kwa mwezi anauza milioni 15 ndani ya miezi 8 atakuwa na mauzo ya milioni 120 atashindwa kununua vogue used ya Hong Kong ya dola 800 au dola 10.000
Nakubaliana na theory yako ya mwenye duka la nguo kumiliki Vogue kwamba sio ajabu but hapo kwenye hesabu yako hiyo? mmh, una assume kwamba huyo mtu ana stock ya kutosha and hence hafanyi new purchases?
 
Maisha ua kizaire na kiitaliano kwa.sisi tunaowajua hawa watu utawala huu wamekwisha. Uchinani hakuna deiwaka. Wewe petro87 wa sinza na kiboutique chako hata kodi uwezo wa kulipa fcl container huna
Unajinasibu na wewe tajiri.unapata msiba nyumbani hapa reflect fedha uliyonayo. #Hapakazitu Tax evasion rule inahitajika kukunasa
 
mkuu umeongea ukweli lakini wakija nyumbu watakuambia huo ni WIVU WA KIKE!
Vogue kuanzia mwaka 2006 kurudi nyuma haina bei kubwa hata wewe unaweza kuinunua tambua vogue ni gari inayosimbua sana pindi ikianza kuzeeka hususani zile dizeli, Nyumbu ni ccm ndiyo maana hata wakidanganywa kuwa vigue zote ni bei ghari wanakariri na kuamini ujinga, zipo gari nyingi za Thamani kuliko vogue zipo mtaani tena zingine mnaziona Kama za kawaida tu.
 
M
huyu jamaa uzi wowote unaozungumzia ukwepaji wa kodi, yale maelfu ya makontena yaliopotea kiajabu bandarini, safari za hovyo hovyo za utawala uliopita, watu wa kaskazini na HOME SHOPPING CENTRE yani anakurupuka utadhan kenge kashtuliwa nchi kavu na kupinga na kutetea hoja huyu akitokwa na povu jingi.

Dah Mungu mkubwa cjui jamaa yao angechukua nchi ambaye jina lake liliwekwa mfukoni July 2015
Membe angekuwa Rais mda huu Nchi ipo vitani kama Somalia kutokana na sera za membe ni ukandamizaji, Visasi na chuki kubwa angewafunga jela Upinzani wote Matokeo yake ni vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
M
Kumekuwa na tabia nyingi za watu.kujinasibu.kwenye mitandao ya.kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari,magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.

Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.

Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi
Mkuu hizo gari zingine ni za mikopo zingine wananunua bei ndogo kule UK vogue la mtumba lipo mpaka dola 2000 tu , usione mtu anamiliki vogue ukashituka zipo za bei ndogo mpaka utashangaa, vogue ya bei kubwa ni kuanzia 2012 -16 lakini za nyuma zinazidiwa bei mpaka na rava4 new models, usiomie roho bure pengine hao ni mabishoo tu wanadanganya watu kuwa hizo gari wamenunua bei kubwa kama walivyokuwa wakifanya Kanumba na Rey , ingia kwenye Mitandao tena Vx v8 zina bei kubwa ndiyo maana hata Serikali inathamini vx kuliko vogue.
 
Ungeniambia wanaendesha magari kama jaguar, Ferrari, Lamborghini, Bentley, Mercedes-Benz.

Unadhani hizo Vogue wanazoendesha watu hapa bongo unadhani sinafanana na Vogue wanazoendesha kina Rooney au Frank Lampard.
Unachosema ni kweli tupu, vogue wananunua huku ni zile vigue taka za dola 2000 ambazo hata muuza sigara anamiliki kule London, waende kule Qatar Doha town vogue ni gari ya kubebea vitunguu sokoni ni nyingi mpaka kero ni gari za kawaida sana.
 
Umasikini kitu kibaya sana daah!! Sasa wewe kwa akili yako unaona hizo vogue ndiyo gari za gharama sana.

Kwa taarifa yako hizi vogue used, zimejaa Shamshuipo Hong Kong kwenye yards zao bei rahisi tu mpaka dola 10 unapata vogue.

Inaonena una wivi sana wa kike kwani ukimiliki duka la nguo Sinza kama unavyoponda uwezi kununa gari ya dola 10, au dol 7000.
Jipu limetekenywa sio?
Haya tukana
 
Gari hilo likikatwa kodi na TRA, bei yake yaweza kufika milioni 100. Hivyo mtu ananunua gari ya kutembelea ya milioni 100, lazima tujue mwenendo wake wa mapato, matumizi na ulipaji wake wa kodi.
 
Nifahamishe Marekani ipi wanauza Vogue $ 4500?

Sijui kama umeishawahi kufanya biashara mpaka unashangaa mwenye duka la nguo kumiliki vogue used.

Nakupa hesabu kiduchu mwenye duka akiwa na mauzo ya laki 5 kwa siku kwa mwezi anauza milioni 15 ndani ya miezi 8 atakuwa na mauzo ya milioni 120 atashindwa kununua vogue used ya Hong Kong ya dola 800 au dola 10.000

Duka lipi sinza unapata mapato ya laki tano kwa siku
 
Nifahamishe Marekani ipi wanauza Vogue $ 4500?

Sijui kama umeishawahi kufanya biashara mpaka unashangaa mwenye duka la nguo kumiliki vogue used.

Nakupa hesabu kiduchu mwenye duka akiwa na mauzo ya laki 5 kwa siku kwa mwezi anauza milioni 15 ndani ya miezi 8 atakuwa na mauzo ya milioni 120 atashindwa kununua vogue used ya Hong Kong ya dola 800 au dola 10.000
Mkuu hawa vijana hawana exposure, hawajui watu wana viduka na wanauza si chini ya tzs 1m per day. Wao wamekalia kudharau biashara za watu na kuanza majungu wakiona wanaowadharau wananunua vitu vya thamani.
 
Back
Top Bottom