Wenye Mavogue wote sasa waangaliwe Tax paying records

Umasikini kitu kibaya sana daah!! Sasa wewe kwa akili yako unaona hizo vogue ndiyo gari za gharama sana.

Kwa taarifa yako hizi vogue used, zimejaa Shamshuipo Hong Kong kwenye yards zao bei rahisi tu mpaka dola 10 unapata vogue.

Inaonena una wivi sana wa kike kwani ukimiliki duka la nguo Sinza kama unavyoponda uwezi kununa gari ya dola 10, au dol 7000.
Unaonekana mwenyeji sana wa china.
 
dola 10...wewe sasa ni muongo ulietukuka
Umasikini kitu kibaya sana daah!! Sasa wewe kwa akili yako unaona hizo vogue ndiyo gari za gharama sana.

Kwa taarifa yako hizi vogue used, zimejaa Shamshuipo Hong Kong kwenye yards zao bei rahisi tu mpaka dola 10 unapata vogue.

Inaonena una wivi sana wa kike kwani ukimiliki duka la nguo Sinza kama unavyoponda uwezi kununa gari ya dola 10, au dol 7000.
 
wewe kweli chai....hao jamaa aliowataja hajawalinganisha na Mo na hauwezi kusema kuwa hawa wasanii sio matajiri na hasa ukilinganisha fedha zao na zako

Acha kupotosha Marekani huwezi kuwa na kipato kinachojulikana kisichokatwa kodi labda uwe unauza unga halafu hao uliowataja kwa viwango vya Marekani wala siyo matajiri hao wanazidiwa hata na Mo.
 
wewe kweli chai....hao jamaa aliowataja hajawalinganisha na Mo na hauwezi kusema kuwa hawa wasanii sio matajiri na hasa ukilinganisha fedha zao na zako
Wewe nani maji taka? Hao wasanii ni matajiri kwa viwango vya kwenu bongo siyo US.
 
Siyo kadhi tu marufuku hata mapambo ya X-Mass ofisi za serikali Magu kanifurahisha sana.

Kwa hiyo Kadhi ni level moja na mapambo ya Xmas? Kweli mlikuwa hamjui mnachokitaka.Kwani umesikia nani kashupalia mapambo ya Xmas baada ya kufutwa? Sasa swali; je, kadhi yupo au hayupo?
 
100 m ni pesa ya kukusukuma ufikirie juu ya tax exption nchi hii! Ndio maana tunasema mna wivu wa kike. Una information gap tuu ya masuala ya kodi na magari. Mimi nilifikiri mtu aseme wawekezaji wa "real estate" waangaliwe mtu anakuja na hoja za magari karne hii.
Acha usengerema wewe. Mama yako ana wivu wa kiume? Mfanyakazi mwenye kipato cha 20mil kwa mwaka analipa kodi inayokaribia 5mil kwa mwaka. Kwanini hao wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na utapeli wasilipe? Yaani ununue gari ya starehe ya mil100 halafu tukute kodi unayolipa kwa mwaka ni laki 5, halafu tkuache kisa tutaonekana tuna wivu wa kike?
 
Mi "msengerema" nakupumulia wewe kisogo? Acha wivu wa kike. Kodi ni taaluma za watu wanasomea tutusa wewe! Unataja vitu viwili tofauti,ambavyo vina namna tofauti ya kodi halafu unahifanya unajua. Google "income tax" halafu fananisha mifano yako hiyo na vile unavyotaka iwe,halafu kojoa ulale pimbi wewe!
 
Dirty cunt
 
Back
Top Bottom