Wenye Mavogue wote sasa waangaliwe Tax paying records

Mkuu unaweza kutuonyesha hiyo mada nzito kwenye huu uzi au kutafahamisha huyo anayekwepa kodi?
Linapokuja suala la kodi sijui kwanini unakuwaga mkali sana aiseee...

Jamaa kaongea vizuri tu (hata kama sehemu amekuwa biased) ila point ni kwamba "hawa wanaotanua na magari ya kifahari bila ya kuwa na shughuli maalumu za kufanya wachunguzwe vyanzo vya mapato yao" na kama hayo mapato yao na wanavyomiliki vinareflect kodi wanazolipa... Vijana wengi wenye maduka ya mavazi kule Sinza na Kinondoni wanalipa kodi isiyolingana na kipato au vitu wanavyomiliki...
 
Ungeniambia wanaendesha magari kama jaguar, Ferrari, Lamborghini, Bentley, Mercedes-Benz.

Unadhani hizo Vogue wanazoendesha watu hapa bongo unadhani sinafanana na Vogue wanazoendesha kina Rooney au Frank Lampard.
Naona hutambui anachoongelea yeye madai yake ni kumiliki duka la mil. 20 ukaendesha vogue la mil.120 uenda vogue limepita njia za panya kwa kutoa mil. 10tu au tatu, hivyo wachunguzwe kama wamekwepa kodi hizi gari zitafutwe walipe kodi yetu tu.
 
Kumekuwa na tabia nyingi za watu.kujinasibu.kwenye mitandao ya.kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari,magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.

Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.

Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi

Sualala kodi ni shida kubwa sana, si jambo dogo. Jana nimenunua vifaa vya 600,000/- vya umeme, duka la watu fulani wanaojiita wa dini, basi baada ya kulipia na kufangashiwa mzigo, nikaomba risiti maana hakuwa na nia ya kutoa, akamwagiza dada kamwandikie risiti, akaingia kwenye chumba akaniandikia. Nikauliza mbona sio za EFD, akanijibu kwa hasira, kama hutaki rudisha mzigo dukani, sitaki kusika habari za EFD.
 
Acha kupotosha Marekani huwezi kuwa na kipato kinachojulikana kisichokatwa kodi labda uwe unauza unga halafu hao uliowataja kwa viwango vya Marekani wala siyo matajiri hao wanazidiwa hata na Mo.

Now you're talking. Utawala dhaifu katika nchi brings a lot of problems unnecessarily. Naona Kadhi amekufa kifo cha kawaida hadi hapoooo ...
 
Matatizo ya kujiunga Instagram ndiyo haya! watu kule wanatupia tu picha tu unajiluta umepigika miaka 30 hata vitz huna Ila Kijana aliye kuja town juzi kati tu anamiliki Range Rover Sport new model mpya kijasho kinakutoka hadi kwenye ukucha!! Tufanye kazi kwa bidiii mbona tutatoboa
 
Naona hutambui anachoongelea yeye madai yake ni kumiliki duka la mil. 20 ukaendesha vogue la mil.120 uenda vogue limepita njia za panya kwa kutoa mil. 10tu au tatu, hivyo wachunguzwe kama wamekwepa kodi hizi gari zitafutwe walipe kodi yetu tu.
Hayo ni ya kwako kwenye huu uzi sijaona sehemu yeyote mleta mada kasema duka la milioni 20.
 
Now you're talking. Utawala dhaifu katika nchi brings a lot of problems unnecessarily. Naona Kadhi amekufa kifo cha kawaida hadi hapoooo ...
Siyo kadhi tu marufuku hata mapambo ya X-Mass ofisi za serikali Magu kanifurahisha sana.
 
Linapokuja suala la kodi sijui kwanini unakuwaga mkali sana aiseee...

Jamaa kaongea vizuri tu (hata kama sehemu amekuwa biased) ila point ni kwamba "hawa wanaotanua na magari ya kifahari bila ya kuwa na shughuli maalumu za kufanya wachunguzwe vyanzo vya mapato yao" na kama hayo mapato yao na wanavyomiliki vinareflect kodi wanazolipa... Vijana wengi wenye maduka ya mavazi kule Sinza na Kinondoni wanalipa kodi isiyolingana na kipato au vitu wanavyomiliki...
huyu jamaa uzi wowote unaozungumzia ukwepaji wa kodi, yale maelfu ya makontena yaliopotea kiajabu bandarini, safari za hovyo hovyo za utawala uliopita, watu wa kaskazini na HOME SHOPPING CENTRE yani anakurupuka utadhan kenge kashtuliwa nchi kavu na kupinga na kutetea hoja huyu akitokwa na povu jingi.

Dah Mungu mkubwa cjui jamaa yao angechukua nchi ambaye jina lake liliwekwa mfukoni July 2015
 
Mkuu ni kwa sababu yeye ni mkwepa kodi mashuhuri tu na kuhusu wakaskazini alishasema haitotoa Rais yeye akiwa hai... Yule ndugu yao angekamata nchi sijui hali ingekuwaje..
 
Linapokuja suala la kodi sijui kwanini unakuwaga mkali sana aiseee...

Jamaa kaongea vizuri tu (hata kama sehemu amekuwa biased) ila point ni kwamba "hawa wanaotanua na magari ya kifahari bila ya kuwa na shughuli maalumu za kufanya wachunguzwe vyanzo vya mapato yao" na kama hayo mapato yao na wanavyomiliki vinareflect kodi wanazolipa... Vijana wengi wenye maduka ya mavazi kule Sinza na Kinondoni wanalipa kodi isiyolingana na kipato au vitu wanavyomiliki...
Magari ya kifahari yapi hayo wanaotanua nayo? Itakuwa vizuri sana uwasaidie TRA kama unao ushahidi wa hao wenye maduka Sinza na Kinondoni kuwa wanalipa kodi isiyolingana kipato na vitu wanavyomiliki.
 
Kibongo bongo Vogue ni gari la kifahari... Haijalishi utalinunua kwa bei gani ila kuweza kulifeed lazima uwe na uwezo fulani...

Hilo la TRA sio jukumu langu kwasababu hata wewe tunawaambia ni mwizi mkubwa lakini hawakufanyi chochote..
 
Vijana wengi wenye maduka ya mavazi kule Sinza na Kinondoni wanalipa kodi isiyolingana na kipato au vitu wanavyomiliki...

Hayo ni maneno yako sijui umeyatoa wapi na kuyaleta JF halafu unasema siyo jukumu lako wewe umejuaje hao vijana wengi?

Hii tabia ya wivu na umbeya imekuwa sugu kwa vijana wengi wa kitanzania wasiyokuwa na shughuli za kufanya.

Unalalamika watu wanakwepa kodi huna ushahidi wowote zaidi ya hisia na chuki wivu wa kike.

Mkuu usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF
 
Vijana wengi wenye maduka ya mavazi kule Sinza na Kinondoni wanalipa kodi isiyolingana na kipato au vitu wanavyomiliki...

Hayo ni maneno yako sijui umeyatoa wapi na kuyaleta JF halafu unasema siyo jukumu lako wewe umejuaje hao vijana wengi?

Hii tabia ya wivu na umbeya imekuwa sugu kwa vijana wengi wa kitanzania wasiyokuwa na shughuli za kufanya.

Unalalamika watu wanakwepe kodi huna ushahidi wowote zaidi ya hisia na chuki wivu wa kike.

Mkuu usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF
Acha ulofa wewe mjinga.. Kulijua ni jambo moja na kwenda huko TRA kusema ni jambo lingine...

After all Sheria ya kodi unaijua?? Maana umesoma sheria ila uliishia kubebwa bebwa tu pale UDSM.. Na umshukuru Masha kenge wewe..
 
Ritz marekani vogue bei rahisi mpka usd 4500 unaipata used. Swala hapa ni kipato halali na.kodi. Naupongeza utawala wa #Hapakazitu ule ujanja ujanja umeanza kuisha. Yale maisha ya kizaire na kiitaliano mwisho wake ilikuwa siku ya uchaguzi. Huwezi kuona wazee wa kuslide wakijitutumua tena kama zamani
Driving a car is not a luxury it is a necessity. Kuendesha vogue used sio ishara ya utajiri
 
Acha ulofa wewe mjinga.. Kulijua ni jambo moja na kwenda huko TRA kusema ni jambo lingine...

After all Sheria ya kodi unaijua?? Maana umesoma sheria ila uliishia kubebwa bebwa tu pale UDSM.. Na umshukuru Masha kenge wewe..
Nilijua tu mwisho wa siku utakimbilia matusi hivi hauna matusi mapya unitukane?

Mimi sijasoma UDSM mie muuza kahawa na na kashata tu kwenye kijiwe changu pale Kimara temboni.

Nakupa offer ukija na matusi mapya nakupa $500 serious.
 
Hiv ww umeangalia kwenye hiyo 120 unayoisema gharama ya mauzo,kodi,gharama za pango,gharama za kuhudumia familia umetathmini ni kiasi gani hadi ukajiridhisha kununua hiyo Vogue inawezekana?
 
Ndiyo maana nimeweka miezi 8 tu.
 
Kumekuwa na tabia nyingi za watu.kujinasibu.kwenye mitandao ya.kijamii kama ni.matajiri mipicha ya nyumba za fahari, maisha ya fahari,magari ya kifahari sasa tunaomba TRA ifanye kama America IRS. Kuangalia background financial history na Tax payment compliance.

Haiingii akilini mtu ana kiduka cha.nguo za china sinza ana range rover na Tax paying history yake ni void. Huyu ana maswali ya kujibu kipato chake kikoje na shughuli ipi halali inampatia kipato.

Kuna wimbi la vijana wanaendesha magari ya bei ghali lakini ukiuliza biashara au ofisi au hata bank account hawana. Ni lazima tubadilike wote kwa ujumla tulipe kodi

Sie wengine ma hse tunaletewa kutoka Uk bei chee.
 
Back
Top Bottom