joseph jamess
Member
- Sep 5, 2013
- 79
- 10
.........
Taja bei! wengi mnataka hela nyingi wakati vijana wengi wenye mawazo ya kufungua kampuni ndogo ili wajiajiri uwezo wao ni mdogo,swala hili lazima serikali iingilie kati kwani tuko wengi ambao tunataka kuanzisha kampuni ndogo lakini tuna kwama kutoka na gharama kua kubwaWatanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.
Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.
Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,
Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.
Ni company or kikundi?Gharama zenu zikoje mpaka kikundi kipate cheti toka Brella?Nina group moja nipo wanataka kujiandikisha Brell tukiwatumia nyie cost kwa kukadiria ni shs ngapi tuwe nazo?
kitu cha muhimu Ni kusajir hiyo company na na kusajir lazima uandae majina at least matano ili tupate jina moja la kusajiria , PIA kama Kuna share holders na share zao lazima uwaolozeshe na address zao PIA mtaji Wako kiasi gan? Company unataka iwe wap? Ukiandaa nayo tuuu ndan ya wiki company yako itakuwa imesajiriwa PIA utapata certificate of incorporation na memorandumNimemaliza chuo Ila Plan yangu kufungua kampun ya umeme cjui nianzie wapi nifanye nn, Kitu Gan niwe nacho?
Mara nying bei inaendana na mtaji WA biashara or company mfano mtaji WA mil 50 kwa laki tano tuu atafanyiwa Kila kitu ndan ya wiki tuuTaja bei! wengi mnataka hela nyingi wakati vijana wengi wenye mawazo ya kufungua kampuni ndogo ili wajiajiri uwezo wao ni mdogo,swala hili lazima serikali iingilie kati kwani tuko wengi ambao tunataka kuanzisha kampuni ndogo lakini tuna kwama kutoka na gharama kua kubwa
okay karibuNgoja tujipange, tutawatafuta
my dear hizo Ni bei za kawaida Sana coz hata brela wenyw azitofautian Sana plus ufuatiliaji na mambo mengine mengi Bt sisi tunakutahisishia na utaletewa Kila kitu had ulipoMhhhhh kusili company brella Pesa kidgo mnoo
kikundi mkuuNi company or kikundi?
ni brela na si brella, tofautisha limited company na business name, hiyo kidogo yako unayofahamu wewe ni bei gani na kwa mtaji gani?Mhhhhh kusili company brella Pesa kidgo mnoo
nini hasa lengo la kikundi?ilo Ni jambo la muhimu kujua Pia capital Ni kiasi gan na Nan atakua kiongozi na je mtakuwa kama share holders na share zenu zikoje kwa Kila mtu ? Tukipata izo details na gharama nayo itafahamika kwa urahisi. Unaweza ukani pm or tumia mawasiliano hayoo juukikundi mkuu
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.
Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.
Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.
Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,
Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.
kama hivo vitu unavyo hapo itagharim kama 50 elfu tuuKampuni capital 10M, 5 shareholders, MoU na Article of Association vipo tayari inakosekana mihuri, gharama ya kusajili ni sh. ngapi?
moto2012
ok wellpoa mkuu nitafanya hivyo kuwasiliana nawe kesho asubuhi huu muda wa kutibu sukari sasa