Wenye mahitaji ya kusajili Kampuni, Kuandaa Katiba ya kikundi, Business Plann n.k

Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.

Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.

Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.

Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,

Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.
 
Gharama zenu zikoje mpaka kikundi kipate cheti toka Brella?Nina group moja nipo wanataka kujiandikisha Brell tukiwatumia nyie cost kwa kukadiria ni shs ngapi tuwe nazo?
 
Nimemaliza chuo Ila Plan yangu kufungua kampun ya umeme cjui nianzie wapi nifanye nn, Kitu Gan niwe nacho?
 
Taja bei! wengi mnataka hela nyingi wakati vijana wengi wenye mawazo ya kufungua kampuni ndogo ili wajiajiri uwezo wao ni mdogo,swala hili lazima serikali iingilie kati kwani tuko wengi ambao tunataka kuanzisha kampuni ndogo lakini tuna kwama kutoka na gharama kua kubwa
 
Ni company or kikundi?
 
Nimemaliza chuo Ila Plan yangu kufungua kampun ya umeme cjui nianzie wapi nifanye nn, Kitu Gan niwe nacho?
kitu cha muhimu Ni kusajir hiyo company na na kusajir lazima uandae majina at least matano ili tupate jina moja la kusajiria , PIA kama Kuna share holders na share zao lazima uwaolozeshe na address zao PIA mtaji Wako kiasi gan? Company unataka iwe wap? Ukiandaa nayo tuuu ndan ya wiki company yako itakuwa imesajiriwa PIA utapata certificate of incorporation na memorandum
 
RMa
Taja bei! wengi mnataka hela nyingi wakati vijana wengi wenye mawazo ya kufungua kampuni ndogo ili wajiajiri uwezo wao ni mdogo,swala hili lazima serikali iingilie kati kwani tuko wengi ambao tunataka kuanzisha kampuni ndogo lakini tuna kwama kutoka na gharama kua kubwa
Mara nying bei inaendana na mtaji WA biashara or company mfano mtaji WA mil 50 kwa laki tano tuu atafanyiwa Kila kitu ndan ya wiki tuu
 
kikundi mkuu
nini hasa lengo la kikundi?ilo Ni jambo la muhimu kujua Pia capital Ni kiasi gan na Nan atakua kiongozi na je mtakuwa kama share holders na share zenu zikoje kwa Kila mtu ? Tukipata izo details na gharama nayo itafahamika kwa urahisi. Unaweza ukani pm or tumia mawasiliano hayoo juu
 
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi.

Sisi ni wataalamu kwenye swala zima la kusajili kampuni ya aina yoyote.Tunakamilisha taratibu zote kuanzia Name search,kuandaa MEMAT (yaani Memorandum and Articles of Association) pamoja na process zote za BRELA na ndani ya wiki moja tunakuletea Certificate of Incorporation popote ulipo.

Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi, wasiliana nasi na kwa pamoja tushirikiane kwa kutimiza ndoto zako.

Kama utakuwa na swali lolote basi usisite kuniuliza kwa njia ya whatsap, calls na sms 0768597186.
Au fika ofisin kwetu,

Essence Consult ltd
NHC Building,1st floor,
makunganya street,
Near Askari Manument ,
Dar es salaam.
0655 204 666
e.consult16@gmail.com.

Mkuu, vipi kuhusu wale ambao hatuna hata senti moja ya kuanzia, maana unataja mtaji.

Nafikiri mtaji si lazima sana kama unataka kuandikia jina la biashara tu kule Brela na TIN number pale TRA au?

Namaanisha nataka kuandikisha tu biashara yangu lakini niwe na duka langu pale kitaa.
 
poa mkuu nitafanya hivyo kuwasiliana nawe kesho asubuhi huu muda wa kutibu sukari sasa
 
Kampuni capital 10M, 5 shareholders, MoU na Article of Association vipo tayari inakosekana mihuri, gharama ya kusajili ni sh. ngapi?

moto2012
 
Kam

kama hivo vitu unavyo hapo itagharim kama 50 elfu tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom