Wenye kujua hii biashara ya nertwork makerting,muongozo tafadhali!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,482
Wakuu

Husika na mada hiyo!!

Kuna watu wananishawishi nijiunge na hii kitu,Dream line technology na swaga kibao za post watu wanapiga hela!

Kuna mtu amewahi kupiga Hela Kwa mfumo huu!?

Au ni here say kama za kina Mr kuku,Deci na n.k!

Nasubiri!
 
Ukiingia kwa ajili ya kupata wanachama walio chini yako ili uwe na chain yako utachanganyikiwa mapema ila ukiingia kama mtaalam utafaidi
 
Kama huna nguvu ya ushawishi achana na huo biashara utaonekana umetapeliwa kumbe wewe ndio hujui kitu ....

Hio Ni networking maana yake uwe na team yako ,uwe na uwezo WA kumshawishi watu kufata chain yako ....

Networking kama una team yako wakawa wanawekeza Kila ukipata platform unatengeneza pesa ......


Kama huna nguvu ya ushawishi ,hauwezi hata kumshawishi MTU arisk million kwenye biashara hio ,basi huna kitu utapata
 
Back
Top Bottom