Kifimboplayer
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,542
- 717
kichwa cha habari kama kinavyojieleza hapo juu leo ni siku ya pili baada ya nondo za tundu lissu kuwsilishwa bungeni jana ni muda muafaka sasa kwa wale waliopitia aidha kwa kuisikia au kuisoma na kupima ni imani yangu kuwa wale wenye huitaji wa serikali tatu watakuwa wamejiridhisha na mtoa hoja T. lisu,
kwa sasa tunasubili mawazo mbadala ya wale wana jamvi waliokuwa wanatetea muungano wa serikali mbili (wapo hapa jamvini na wanafahamika) ni nafasi ya hii kujitetea kama si kujisafisha ili na sisi wana jamvi tuwe na tamko moja kuhusu muundo wa serikali yetu muungano iso shaka ya wengi wape
Karibuni