nakyoganzala
Member
- Jul 15, 2012
- 6
- 0
Nchi yetu tuna viongozi au tuna uchafu wa viongozi? Mauaji ya ushabiki wa kisiasa yataendelea mpaka lini? wananchi tuchague kiongozi gani atakaye leta ukombozi kwa watanzania.
Hizi ni dalili za mwisho za utawala uliochokwa na hauna jinsi ya kujihalalisha tena isipokuwa kulazimisha waendelee kutawala ingawa wananchi hawawataki! Ni matukio yasiyoepukika kwa watawala kama wetu wa sasa. Tazama katika historia utaona hakuna utawala uliokaa muda mrefu kama wa hiki chama cha Mabwepande wakakubali kuondoka kwa njia ya demokrasia. Watanzania tunayo mikuki miwili na inabidi tuchague upi utuchome:
- Tukubali wadhalimu waendelee kututawala, au
- tukubali gharama ya kuutoa udalimu