Elections 2010 Wengi wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutopiga kura 2010

Si inaruhusiwa kubadili kituo cha kupigia kura? Kama wametangaza mapema hivi, nafikiri kuna muda wa kutosha kuhamisha kituo chako kwenda kule ambako utakuwa wakati huo.

Labda kama hata kuhamisha kituo ni ngumu na hapo wanafunzi tutakuwa tumefungwa goli.
 
Kilembwe, sometimes is better to run from a problem than speaking with a deaf, dictator like our government. na wakati mwingine unaona bwana mkubwa anapewa tuzo ya utawala bora tena from outside countries, nabaki nashangaa na kushindwa kushangaa
The best chance to run from a problem is to go through it.
 
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura
 
Duu,Mazee ukimbie nchi yako kisa?acha hizo bana..Tanzania is very beautifull country na ninawashangaa sana watanzania wanaoichukia nchi hii.Hata kama nchi hii unaiona mbaya vipi lakini naamini ukistruggle vya kutosha utakuwa na masiha mazuri tu..Ni watanzania wangapi walioko hapa Tz wanamaisha mazuri na ni watanzania wangapi walioko nchi za watu wanaishi kwa shida pamoja na elimu zao nzuri?..

suala si maisha mazuri GS, the issue is true democracy of the people, being happy, watu wakusikilize. kuna mana gani ya kula kuku kwa mrija huku huna haki ya kumchagua kiongozi umtakaye, husikilizwi shida zako, huna maamuzi yoyote, they just dictate you, do that and so ,and so ..
 
Ni kweli Remmy lakini wakati mwingine we have to continue doing this hope one day just one day tutapata serikali inayoambilika no matter how long na nchi hii inatuhiatji wewe na mimi na wengine tuwe a part of history, siku moja vizazi vijavyo vitakaa na kusimulia juu ya kizazi hiki kuwa ndio kiliwasha cheche ya kwanza iliyo ibua moto wa mabadiliko TZ! nakumbuka mama Theresa wa Calcuta, aliwahi kusema nanukuu " in this world there are people whose purpose in life is to pull others back, if you construct something they will destroy it, so dont give up continoue constructing anyway because at the end of the day it will be between you and your GOD! so Remmy let us do it anyway! Nakumbuka kiongozi mmoja aliwahi kuulizwa" Mr. president what is the legancy you what to leave behind once you are gone?" alijibu " once Am gone I dont want people to search for me in the white painted tomb! lather I want people to search for me in people's heart". Na huo ndio ujumbe wangu kwako Remmy!
 
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura

Masanilo,

Wazo zuri, kama tofauti ni chini ya wiki moja basi njia itakuwa kufanya hivyo, vinginevyo kama inawezekana mimi nitahamishia kura yangu kule kwetu.
 
I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.
Asikudanganye mtu kuwa abroad kuna maisha mazuri kama hujajiandaa vizuri utaishia kuosha makalio ya vizee.
 
Kuna uthibitiisho kuwa mwaka huu vyuo vikuu vyote vitaanza mwaka wa masomo mpya mwezi wa kumi na moja soon after uchaguzi. wachambuzi wanasema hi ni janja ya CCM kuzuia wanachuo wasipige kura kwani wengi si wana CCM, na wengi wangepigia upinzani. wanajua fika wengi wamejiandikisha maeneo ya chuoni. jamani mbona wanawanyima watu haki ya kupiga kura? I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.

Wanajua wanafunzi walijiandikisha karibu na vituo vilivyo kwenye mikoa ambayo vyuo vipo na si makwao, daaah hii haijatulia CCJ,CHADEMA, CUF MPO?
 
Si inaruhusiwa kubadili kituo cha kupigia kura? Kama wametangaza mapema hivi, nafikiri kuna muda wa kutosha kuhamisha kituo chako kwenda kule ambako utakuwa wakati huo.

Labda kama hata kuhamisha kituo ni ngumu na hapo wanafunzi tutakuwa tumefungwa goli.

Buckreef zoezi la kurekebisha daftari la wapiga kura wa jiji la Dar es salaam lilikamilika jumapili tarehe 23/05/2010. Na kwa wale wa mikoani lilikwishakamilika siku nyingi zilizopita. Hivyo kama kuna mwanafunzi alijiandikisha chuoni na bahati mbaya siyo mkazi wa mji kilipo chuo chake basi atakuwa amekosa haki yake ya kupiga kura kwani wakati kura zinapigwa atakuwa kwao. Ila akiwa ni mkazi wa mji kilipo chuo chake bado anaweza kwenda chuoni kupiga chuo.
 
Kuna uthibitiisho kuwa mwaka huu vyuo vikuu vyote vitaanza mwaka wa masomo mpya mwezi wa kumi na moja soon after uchaguzi. wachambuzi wanasema hi ni janja ya CCM kuzuia wanachuo wasipige kura kwani wengi si wana CCM, na wengi wangepigia upinzani. wanajua fika wengi wamejiandikisha maeneo ya chuoni. jamani mbona wanawanyima watu haki ya kupiga kura? I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.

Wahenga walisema mdharau kwao ni mtumwa, na tena ni mtumwa wa fikra.
 
Duu,Mazee ukimbie nchi yako kisa?acha hizo bana..Tanzania is very beautifull country na ninawashangaa sana watanzania wanaoichukia nchi hii.Hata kama nchi hii unaiona mbaya vipi lakini naamini ukistruggle vya kutosha utakuwa na masiha mazuri tu..Ni watanzania wangapi walioko hapa Tz wanamaisha mazuri na ni watanzania wangapi walioko nchi za watu wanaishi kwa shida pamoja na elimu zao nzuri?..

suala si maisha mazuri GS, the issue is true democracy of the people, being happy, watu wakusikilize. kuna mana gani ya kula kuku kwa mrija huku huna haki ya kumchagua kiongozi umtakaye, husikilizwi shida zako, huna maamuzi yoyote, they just dictate you, do that and so ,and so ..

Mbaya zaidi ukiwa na pesa nchi hii unakuwa target ya mjambazi na huwa wanakuja nyumani kwako watu kama ishirini hivi au zaidi kukuvamia wakiwa na silaha za moto. Au wanakuvamia ndani ya gari lako ukiwa unasubiri mataa au ukiwa baa. Mapolisi nao hawaaminiki sana kwani wanashirikiana na majambazi. Kwa hiyo bado kuwa na pesa nchi hii siyo suluhu.
 
tatizo la mbongo ni fedha. niwahi kurudi kupiga kura sina fedha za kuniweka chuoni, nami nategemea bumu, hiyo kitu ngumu sana. na kuhamishia kituo cha kupigia kura nadhani haiwezekani. daftarila wapiga kura baadhi ya mikoa kama si yote limekwisha pita sa sijui nitahamishaje. hiyo haki nimeshaipoteza
 
Duu,Mazee ukimbie nchi yako kisa?acha hizo bana..Tanzania is very beautifull country na ninawashangaa sana watanzania wanaoichukia nchi hii.Hata kama nchi hii unaiona mbaya vipi lakini naamini ukistruggle vya kutosha utakuwa na masiha mazuri tu..Ni watanzania wangapi walioko hapa Tz wanamaisha mazuri na ni watanzania wangapi walioko nchi za watu wanaishi kwa shida pamoja na elimu zao nzuri?..

suala si maisha mazuri GS, the issue is true democracy of the people, being happy, watu wakusikilize. kuna mana gani ya kula kuku kwa mrija huku huna haki ya kumchagua kiongozi umtakaye, husikilizwi shida zako, huna maamuzi yoyote, they just dictate you, do that and so ,and so ..

Democracy kwenye nchi ya watu inakufaidia nini?bado ni utumwa ule ule..Asikudanganye mtu eti kwa kuwa unadhani Marekani kuna Demokrsai absi ukienda huko ndio itakusaidia,hakuna kitu kama hicho..Believe me kama sio mzawa shida iko pale pale..waulize wenzako,wanaishi kama watumwa vile wakati wangekuwa nchi zao wangekuwa mbali sana..Tatizo hukabiliwa na sio kukimbiwa..Wote tukikimbia nani sasa atakuwa mkombozi?
 
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura

Masanilo, nakubaliana na wewe.
Hicho ulichosema kiwe ni Plan A. Kwa maana ya kuwa hata kama nyumbani maadamu ni umbali unoweza kusafiri siku hiyo hiyo na kwenda kupiga kura kituo cha chuoni na kisha ukarudi nyumbani, basi wasipoteze nafasi hiyo.

Plan B, ambayo ina-apply kwa wote, yaani waliopo karibu na vyuo vyao na wale wataokwenda mbali sana na vyuo vyao; huko mtakako kuwa anzisheni operesheni SIAFU. Mmmeumizwa huku ninyi mnakwenda kutoa darasa la uhakika kote huko mtakakotawanyikia.Msiache Chama cha Mjambazi/mafisadi/mabwanyenye/etc kupumua. Toeni shule ya nguvu kwa vijana nawazee ili nchi itoke kwenye makucha yao.Tanzania ya baadaye inategemea leo tunapinga nini na kuunga mkono nini. Mßatunda yake tutayala, yawe mazuri au mabaya.

Jambo la kukumbuka kuwa, kunyamaza kimya kwa kijana iwe ni kwa kutokupiga kura au kutokutoa elimu ya kuiponya nchi hii, hakuitakii mema jamii yetu ambayo wengi wetu tunafikiri kuendelea kuishi hapahapa Tanzania {Sisi na watoto hadi wajukuu na vitukuu vyetu} wakati wao-mabwanyenye wanafikiria kuwapeleka watoto wao (wengine wamekwishapelekwa) nje, na wamekwisha wapata wajukuu wenye uraia wa nje japo baba na mama wa watoto hao ni watanzania.
 
Plan B, ambayo ina-apply kwa wote, yaani waliopo karibu na vyuo vyao na wale wataokwenda mbali sana na vyuo vyao; huko mtakako kuwa anzisheni operesheni SIAFU. Mmmeumizwa huku ninyi mnakwenda kutoa darasa la uhakika kote huko mtakakotawanyikia.Msiache Chama cha Mjambazi/mafisadi/mabwanyenye/etc kupumua. Toeni shule ya nguvu kwa vijana nawazee ili nchi itoke kwenye makucha yao.Tanzania ya baadaye inategemea leo tunapinga nini na kuunga mkono nini. Mßatunda yake tutayala, yawe mazuri au mabaya.

Maneno mazito sana haya! Watu wengi huwa hawako well informed which led them to make wrong decision ....wanaweza washawishi wapokee, Tshirt Kanga, kofia na siku ya uchaguzi wasiwachague. Ukiweza hamashisha kijiji kizima ama kitongoji kimoja ni badiliko kubwa tunaolitarajia
 
Vyama vingine vina sera ipi mbadala wa hii ya mikopo ya Serikali ya CCM? Au ni siri yao hadi watakaposhinda uchaguzi?
 
Kuna uthibitiisho kuwa mwaka huu vyuo vikuu vyote vitaanza mwaka wa masomo mpya mwezi wa kumi na moja soon after uchaguzi. wachambuzi wanasema hi ni janja ya CCM kuzuia wanachuo wasipige kura kwani wengi si wana CCM, na wengi wangepigia upinzani. wanajua fika wengi wamejiandikisha maeneo ya chuoni. jamani mbona wanawanyima watu haki ya kupiga kura? I hate being tanzanian and live here, am strugling to go and live abroad where life there make sense.

Hapo penye nyeusi

Warsaw - A Nigerian was shot dead in Warsaw on Sunday after a struggle with police who chased him through a crowded open-air market whose traders pelted officers with bricks, police said after making 32 arrests.

The 36-year-old man took flight when a police patrol entered the market in the central Praga district, police spokesperson Mariusz Sokolowski told reporters.

Traders threw bricks and other objects at police when they began to pursue him, Sokolowski said.

"According to certain witnesses, the man tried to wrestle a gun away from a policeman and it went off," Sokolowski said.

"A police officer was wounded and hospitalised. Thirty-two people were detained, most likely all Nigerians, but we are still checking their identities," Sokolowski said.
 
Mnaweza kurudi maeneo ya chuo na kupiga kura mkisubiria vyuo kufunguliwa! msipoteze haki yenu ya kidemokrasia kupiga kura

Masa naomba ukumbuke wengi wetu tunatoka familia za aina gani hata niwe na hiyo nauli ya nenda rudi nenda rudi!!!

kuna watu hata kwenda September Conference ni tabu jamani ije kuwa kwenda kupiga kura??
 
Remmy huu waraka ni kwa vyuo vikuu tu au vyuo vyote vya elimu ya juu??ok usikimbie.....njoo huku ccj tusaidiane kuweka mkakati wa kuiondoa Nchi yetu katika mikono ya Mafisadi
 
Back
Top Bottom