Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,286
Uko sahihi ndugu, tuongee mengi lakini linapofika suala la mwanaume na mwanamku tofauti zipo kabisa za kimaumbile, kisayansi, ki imani, kijamii na kisheria zinazotofautisha mke na mme. Uliyoyasema ni kweli kabisa, akina mama hawajiamini hata kidogo.
Mfano Mkuu wa wilaya huko Tanga (Betty Mkwasa), kuna wakati fulani mtoto aligongwa na gari barabarani na wananchi wakamua kuziba barabara kwa lala, sasa huyu kiongozi (wa wilaya nzima ikiwa ni majimbo, na kata) alifika pale kuwasihi watu waondoke, ndipo kukawa na delay kidogo yule mama akasema (kirahisi rahisi) "au mnadharau mimi kwa kuwa ni mwanamke", hii inatoa picha gani? Wanawake hawajiamini hata kidogo.
Ikatai wanawake laa, kuna kazi ambazo mwanamke anafanya kwa ufanisi zaidi kuliko mwanamme.
Si uziweke wazi tuzione hizo tofauti za kisayansi na kisheria tuone zonahusiana nini na utendaji kazi Wa mwanamke?
Kuongea kwa hisia tu ni rahisi lakini ndio linalomtofautisha great thinker na watu wa vijiweni.
Kutojiamini kwa Betty Mkwasa ni kosa lake binafsi ( kama ilikuwa hivyo), huwezi kuchukua mfano wa mtu mmoja kutumia kwa wanawake wote