Elections 2010 weman Empowerment siyo kwenye mambo nyeti jamani

Wewe Gaijin ni mwana CCM mchakachuaji tuu, sasa kama alikuwa anaweza kwanini walimtoa Sitta mapema wakati wanajua hawezi wakamuweka ma mabwenyenye wenzake?
CCM bureee tuuuuu,,,, Wachakachuaji wakubwanyinyi Gaijin

hayo ya CCM sicho kinachojadiliwa hapa. Hapa tunajadili maelezo yako yaliyo wa generalize wanawake wote sawa.

kinachogomba hapa ni namna ulivyowa geenralize wanawake wote kwa sifa sawa sio suala la kupondwa Anne Makinda kuwa hafai.

To me you are very much welcomed kumponda Anne Makinda kama Anne Makinda kwa sifa na utashi alonao.
 
ok Jamani naona wale wanaojiandaa kufuatilia Bunge hili la sasa linalo jiandaa kuanza hivi pinde juma nne wata shuhudia haya ninayo yaongea hapa kwa Jamii
 
Watanzania Amkeni jamani Anne tunaweza kumzuia akileta za kuleta jamani
 
Mtoa mada unatupa shaka,ingeeleweka kama ungesema mwanamke fulani hana uwezo kitu ambacho kipo pia kwa baadhi ya wanaume kupewa uongozi huku wakiwa hawana uwezo.Lakini kusema wanawake wote wako hivyoo si sahihi.Wako wanawake wengi sana waliokuwa imara na kuongoza maeneo tafauti kwa ufanisi tu.Jaribu kureview mawazo yako inaonyesha uko gender biased.
 
Namuongelea Huyo Speaker wa sasa,, ana udhaifu wa kutosha tu,, na wenzake poa lakini Tabia hizo Wanaake wanazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom